Ninyi? Usinijumuishe humo kabisaaa....
Mimi sijawahi kumpenda mwanaume kwa ajili ya pesa yake..!
aaah wapi acha kutudanganya siku hizi kama huna pesa utaishia kwenye sabuni tu wanawake wengi siku hizi ni nipe nikupe.si mnasema no money no honey no love.
​Noted.......... Eleza Pesa Alipo?
Sio wote tuvutwao na ATM...!
Umesema wanawake wengi...! Kwa maana hiyo kuna wachache ambao mimi nipo miongoni mwao..!
Hapo nimekudanganya nini?
material wife....! Unaweza kuweka wazi japo kitu kimoja kinachokuvutia?
Im know myself i'm wife material ila mwanamme bila mwelekeo wa maisha hana nafasi kwenye maisha yangu