dah, ila mapenzi, mapenzi ni kitu cha ajabu kweli!! sijui hizi swaga zimeishia wapi siku hizi??

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,745
10,078
aisee jamaa kamkomalia mrembo wake aisee!! dada nae anaonekana kuwa na mapozi meeeengi kweli kweli!!

hizi swaga naona siku hizi hazipo! atm yako tu ndio inavuta!

1380570_644101605635102_1743837994_n.jpg
 
Sio wote tuvutwao na ATM...!

kweli Neylu?

ninyi si ndio wale mnaowachamba wanaume wenye mikono mikavu?

kutwa kuchwa kuwaambia Eleza Pesa Alipo?
 
Last edited by a moderator:
Dah hapo naona dada tayari yupo ktk zile enzi za Usiku kucha silali nakuota wewe.
 
kweli Neylu?

ninyi si ndio wale mnaowachamba wanaume wenye mikono mikavu?

kutwa kuchwa kuwaambia Eleza Pesa Alipo?

Ninyi? Usinijumuishe humo kabisaaa....

Mimi sijawahi kumpenda mwanaume kwa ajili ya pesa yake..!
 
hizo swaga bado ziko kwa akina we niangusage tu sambi sako mwenyewe,vp mkuu haujatembelea maeneo ya kijijini eeeh.vp mbona haujavaa kitasa,mmmh kitasa amevaa dada ameenda nayo masine kusaga mahindi.
 
Ninyi? Usinijumuishe humo kabisaaa....

Mimi sijawahi kumpenda mwanaume kwa ajili ya pesa yake..!

aaah wapi acha kutudanganya siku hizi kama huna pesa utaishia kwenye sabuni tu wanawake wengi siku hizi ni nipe nikupe.si mnasema no money no honey no love.
 
aaah wapi acha kutudanganya siku hizi kama huna pesa utaishia kwenye sabuni tu wanawake wengi siku hizi ni nipe nikupe.si mnasema no money no honey no love.

Umesema wanawake wengi...! Kwa maana hiyo kuna wachache ambao mimi nipo miongoni mwao..!

Hapo nimekudanganya nini?
 
Ninyi? Usinijumuishe humo kabisaaa....

Mimi sijawahi kumpenda mwanaume kwa ajili ya pesa yake..!

ohh come on Neylu...

most of you looks at the bundle in the wallet!
 
Last edited by a moderator:
Umesema wanawake wengi...! Kwa maana hiyo kuna wachache ambao mimi nipo miongoni mwao..!

Hapo nimekudanganya nini?

.
.
.
.
.
.
wanaokataa kwa nguvu na hadharani wabaya sana kwa hizo style. sio lazima eti upewe ushike,hata uwezo tu wa kujikeep clean and smart na kuaford mtoko vinahitaji pesa.
 
Sipatii picha kipochi cha manyoya cha huyo binti kitakua na vumbi tani ngapi!!
 
Back
Top Bottom