Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,051
- Thread starter
-
- #61
siku ukipata wa kuziba pengo maumivu yataisha kabisa na utarudi kutuambia humu....
ila hapo kwenye kuni mmm umetuonea..katika suala ya kuumiza wenzi wanawake mnaongoza...case za wanaume ni very rare na moja wapo ndio kama hii
Mkuu mimi nitoe maana sijawahi na sitarajii kufanya huo ujinga sema nitakua naupepelea moto uwake vizuri
Poa ndugu yangu,Usk mwema
Mmh ww utakuwa kuni tena gogo
Hata wangenilipa mamilioni mangapi, isue ni kuwa ningewafurahisha kama walivyotaka, yaani ningekuwa mc of the year, wangetakasika na nafsi zao.
pain often make us be strong but sometimes better a dogs than human being , I can not describe how I hurting, I am MC of the weddings, though not so much, x wangu alituma watu waje wanikodi with big offer without me knowing, I asked to be schedule in advance and led me around I got the day falling in the courtyard , lol come back to read the names nkakuta jina la x wangu na jina la binti aliyenipindua, I had no way out zaidi yakufanya lililonipeleka, dah wakuu nimeumia sana
Pole...
Siku nyingine andika kiswahili tu maanake hiyo broken hata kwa super glue haiunganiki.....
Huyo ex wako hajakua akili.
Msamehe bure tu
Kwa kumkomesha kwenye harusi mwanzo mwisho wapigie ccm ni ile ile
Anyway
Jitoe waambie hutoweza kufanya hiyo kazi watafute mtu mwengine
Khaaaah!! Wanaume wengine ni mbwa walah!! Ndio unyama gani huo sasa! Nyokolo zao wote wenye tabia hizo.
Ila nami ningewafanyia vimbwanga hiyo siku wasingenisahau, wangejuta kunikodi.
chamsingi kama umeelewa changia mada, mambo ya broken sijui mwachie mwalimu wake
siku ukipata wa kuziba pengo maumivu yataisha kabisa na utarudi kutuambia humu....
ila hapo kwenye kuni mmm umetuonea..katika suala ya kuumiza wenzi wanawake mnaongoza...case za wanaume ni very rare na moja wapo ndio kama hii
Dawa angewawekea mchiriku mwanzO mwisho
Akibadilisha taarabu
Wakikaa vibaya anashindilia na ccm ni ile ile
Labla hawajajielewa unawagonga na rap za fid q na 50 cent
Lazima akili iwakae sawa
Pole...
Siku nyingine andika kiswahili tu maanake hiyo broken hata kwa super glue haiunganiki.....