Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,775
- 3,610
Mie sisemi neno. Nawaachie nyie wenyewe mseme msije mkasema nimeongeza chumvi.
atakua mama yake, dogo anataka kunyonya
hamna unoma wala nini hapa.Mtoto anataka kunyonya tu
ila kweli afu dada anaskilizia, dogo ni mubaya
Kwani wakubwa wakipewa wanafanya nini? si wanaishia kunyonya tu??
kawaida mbona...! hujawahi kuona kina dada wanabadili nguo huku watoto wadogo wa kiume wapo chumbani....!
Dogo anaomba kipapa.
Dogo anaomba kipapa.