Dah! huyu dogo noma

Dah! huyu dogo noma

Michael Amon

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2008
Posts
8,769
Reaction score
3,644
Mie sisemi neno. Nawaachie nyie wenyewe mseme msije mkasema nimeongeza chumvi.

255222funny-wedding-photos8.jpg
 
atakua mama yake, dogo anataka kunyonya
 
ila kweli afu dada anaskilizia, dogo ni mubaya
 
kawaida mbona...! hujawahi kuona kina dada wanabadili nguo huku watoto wadogo wa kiume wapo chumbani....!
 
kawaida mbona...! hujawahi kuona kina dada wanabadili nguo huku watoto wadogo wa kiume wapo chumbani....!

Dah! Sijawahi kuona hiyo mkuu, si unajua tena sisi kwetu tumezaliwa midume mitupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom