Leo huyu dogo kanisikitisha sana

Nkundwe Sr

JF-Expert Member
Nov 30, 2014
6,108
9,214
Leo mida ya jioni hii kuna sehemu nilikaa napiga story na jamaa yangu kuna madogo kama wawili walikuja kwa huyu jamaa yangu yeye ni mfanyabiashara wa Simu walikuwa wanataka simu Kali kama ya million na ushee eti Samsung s 23 ngapi uko.

Katika story zao nikagundua awa madogo ni wanafunzi mwaka wa kwanza Chuo Kimoja Mjini hapa tukawa tunapiga story wakasema boom limetoka leo hivyo dogo kadraw hela yote kauza laptop na simu nyingine alikuwa anatumia hili aongeze na boom anunue simu.

Nikamuuliza dogo sasa ukitoa hela yote ukanunua simu utapata wapi hela ya kula majibu aliyonijibu ndo nimesikitika sana.

Dogo akinijibu unajua brother Mimi hapa Nina mademu wawili wote wananionga kwahiyo issue ya Kula sio issue Sana hapa atakulewa nalewa Kwa hela yao dogo akaanza kunisimulia Mimi bro natumia mcongo sana kwahiyo najitahidi kila siku napokutana na demu nipake mcongo na hiyo putururu hili niwakoleze mademu wanionge huyu dogo kazaliwa 2003 anasema mwaka wa 4 huu anatumia mcongo nikamuwazia huyu dogo Kwa huu mcongo Miaka 5 ijayo si atakuwa ameharibika Sana upande wake wa nguvu za Kiume na anasema bila mcongo hatoboi dah awa watoto wetu sijui wanaelekea wapi.
 
CHAI☕🍞
 
Mwenyewe nilikuwa siaimini kabisa hizi habari za mkongo, Kuna siku jamaa yangu wa karibu kabisa ananipa story nilimshangaa mpaka kesho.

Ukimuangalia bado dogo kabisa laikini ndio Kama hivyo ni mwendo wa kujibust asee.
 
Mwanangu ata Mimi nilikuwa najua story Tu Yani dogo Yuko proud na ujinga wake atakuja kushtuka kashaharibika afu dogo namuona bado mdogo sana
 
Back
Top Bottom