Dah, Huu Uandishi Aisee Sio Mchezo.

Hata mleta maada hajasema haieleweki.
Tatizo ni vilivyopungua ili kuufanya uandishi uwe na maan

Hahahah.

Tunae mdau mmoja humu JF ila simuoni siku hizi anaitwa Pdidy sjui yuko wapi aisee.

Ndio uandishi wake huu labda awe amejua kuandika siku hizi.
 
Hii inatokea sana kwa wale wadada wa kazi ambao wamesoma wakaishia katikati hata Primary hawajamaliza ndio maandishi yao sababu wengi matumizi yao kwenye simu inakuwa mtihani.

Na hapo shida ni kwenye kuacha nafasi na herufi pia wanakuwa hawajazifahamu fresh.
 
Hahahah.

Tunae mdau mmoja humu JF ila simuoni siku hizi anaitwa Pdidy sjui yuko wapi aisee.

Ndio uandishi wake huu labda awe amejua kuandika siku hizi.
yupo kwenye uzi wa kubet kule kila siku anaudhulia
 

Ni kweli unachosema mkuu.

Naomba unimalizie basi kusoma hiyo msg hapo juu jomoni.

Hahah.
 
yupo kwenye uzi wa kubet kule kila siku anaudhulia

Hahahah.

Kweli vyuma sio mchezo vijana wengi wametokomea kwenye hii kamari aisee.

Hatari Sana.
 
Hahahaaa. Sio siri nimeishia kati kuisoma kwa kweli.

Nimejikuta nashindwa.

Hahahah.

Thatha thi uniambie hicho hicho ulichosoma nione umeishia wapi jmn.

Lovely.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…