Dah, hizi picha chafu za uchi zinashangaza sana!

Dah, hizi picha chafu za uchi zinashangaza sana!

tupe mfano wa picha hizo tuone ubaya wake.
 
Wale wanaozitoa huanza na maneno kama LAANA au AIBU na mengine
ambayo watoaji hujifanya kama wamesikitishwa huku wakiwa miongoni
mwa waliozisambaza, Huu ni unafiki tu hata watazamaji nao ni wanafiki
ni bora kuzitazama kimya kimya kuliko kujifanya mara Mungu hivi mara
vile kama ni kweli tunaamini kuwa ni picha za aibu ni bora kutofungua kabisa,

ASHAKUM SI MATUSI..... HIVI UNGEONA HEADING KUWA BABA YAKO NA
MAMA YAKO WAMEPIGA PICHA ZA AINA HIYO UNGEKIMBILIA KUZITAZAMA
AU KUZITAWANYA MTANDAONI KWA MANENO KAMA LAANA HII WAZAZI
WETU...... N.K

BILA SAHAKA UTATAFUTA NAMNA YA KUZIFANYA ZISIONEKANE TENA HUU
NDIO UUNGWANA.

SEMENI TU KAMA MNAZIPENDA KULIKO KUJIFANYA MARA MUNGU HAPENDI
MARA AIBU AU LAANA N.K

machoni kama watu; moyoni hawana ustaarabu;
hata wewe mwenyewe unazipenda na ndo maana unaziangalia;
kuna mtu mmoja alijifanya anachukia sana hizo picha;
siku ya siku akaniachia kilaptop chake nikifanyie installation; duh! niliyoyakuta ilikuwa noma.
 
Dah, nilikimbilia kufungua nikidhani umebandika hapa!!!

Mnapend kuangalia picha za uchi si uangalie uchi wako chumbani mwako. Watu wa aina hii mnasumbuliwa na maradhi ya "voyeurism". Nenda kajieleze kwa mshauri nasaha upate tiba
 
mimi sipendi unafiki weken hizo picha kama supportive evidence bila hivo somo halitaeweka kabisaaa
 
hahahahahaha ahuuuhuhuhuu yayayayaaaa kakakakakaaaaa nimecheka hadi basi, halafu walipoona hakuna kitu ndio ikabidi waungane kimtindo na Mcharuko kuzikandia hahahahahhahahahaaaaa KWELI IMEKUWEKA HURU
hILI dongo babkubwa aiseeee
Acheni unafiki, ukweli ni kwamba wote wanaofungua hapa walikuja kupiga chabo picha.. heading inavutia
 
Last edited by a moderator:
mie nazipenda sana maana kumwambia demu avue chapaa ni lazima itoke sasa hawa ni bure live bila chenga
 
Back
Top Bottom