Mcharuko
JF-Expert Member
- Sep 25, 2011
- 209
- 175
Wale wanaozitoa huanza na maneno kama LAANA au AIBU na mengine
ambayo watoaji hujifanya kama wamesikitishwa huku wakiwa miongoni
mwa waliozisambaza, Huu ni unafiki tu hata watazamaji nao ni wanafiki
ni bora kuzitazama kimya kimya kuliko kujifanya mara Mungu hivi mara
vile kama ni kweli tunaamini kuwa ni picha za aibu ni bora kutofungua kabisa,
ASHAKUM SI MATUSI..... HIVI UNGEONA HEADING KUWA BABA YAKO NA
MAMA YAKO WAMEPIGA PICHA ZA AINA HIYO UNGEKIMBILIA KUZITAZAMA
AU KUZITAWANYA MTANDAONI KWA MANENO KAMA LAANA HII WAZAZI
WETU...... N.K
BILA SAHAKA UTATAFUTA NAMNA YA KUZIFANYA ZISIONEKANE TENA HUU
NDIO UUNGWANA.
SEMENI TU KAMA MNAZIPENDA KULIKO KUJIFANYA MARA MUNGU HAPENDI
MARA AIBU AU LAANA N.K