Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Ha ha ha ha Safari_ni_Safari.. Hilo bwabwa lenyewe linatisha hivyo na udevu huo lol.. Huyo mwingine amevaa bikini.. Aisee unajua hawa jamaa wameshafanya yote ya dunia na sasa wanarudi kwenye enzi za stone age lol..
Safari_ni_Safari unapataje izo link? mi nna link za kilimo bora cha vitunguu na maembe mwenzetu upo huko...haya we!!nimependa nyusi zake kama za anko Harris 😛lane:
mbona kama bwabwa?
Mi nawaambia, asilimia kubwa ya madume yanayoingia kwenye mambo ya fasheni ni mabwabwa.
CC Kadinda