Umetoka kazini jioni unamkuta jirani anampiga mama yako makofi hadi ametoka damu....ukakimbia ndani ya nyumba kuchukua silaha(nyumba yako na ya mama yako haiko mbali sana)..
Vile unaingia tu chumbani kwako unamkuta mkeo/mmeo akiwa kitandani na mtu mwingine....
Utafanya nini/utaanzia wapi??
Umeongea mawazo yangu yote. Hakuna kama mama lakini hayo mengine yanaweza kuwa na mbadala.Mama first,akiuliwa ntampata wapi mwingine ila vigegedo vipo vingi sana.........
naanza na mama ila hao wanaogegedana hasira za mama angu kupigwa zitaishia kwao
Umetoka kazini jioni unamkuta jirani anampiga mama yako makofi hadi ametoka damu....ukakimbia ndani ya nyumba kuchukua silaha(nyumba yako na ya mama yako haiko mbali sana)..
Vile unaingia tu chumbani kwako unamkuta mkeo/mmeo akiwa kitandani na mtu mwingine....
Utafanya nini/utaanzia wapi??
Demba umesoma vizuri uzi kweli, jaribu tena kupitia hapo kwenye rangi nyekundu.nyie wadada mbona munajibu hili swali haliwahusu ni kwa wanaume, wao ndo wanajua utamu wa mke. nyie mupite tu
Demba umesoma vizuri uzi kweli, jaribu tena kupitia hapo kwenye rangi nyekundu.
Umetoka kazini jioni unamkuta jirani anampiga mama yako makofi hadi ametoka damu....ukakimbia ndani ya nyumba kuchukua silaha(nyumba yako na ya mama yako haiko mbali sana)..
Vile unaingia tu chumbani kwako unamkuta mkeo/mmeo akiwa kitandani na mtu mwingine....
Utafanya nini/utaanzia wapi??
Hapo sasa. . .Yaani umkute mama yako anapigwa ukimbilie nyumbani kutafuta silaha ? huo utakuwa ni upuuzi wa hali ya juu kuufanya.
Usihofu lakini kutokana na jina lako sijui niku-address kama baba au mama?nashukuru sikupaona hapo. kwa muktadha huu jibu liko wazi kwangu mama anapigwa so kuna hatari ya kuumizwa au kumpoteza kabisa ilihali huyu mume ala uroda kwa raha zake. mie ntaanza na mama kwa kweli.
Umeongea mawazo yangu yote. Hakuna kama mama lakini hayo mengine yanaweza kuwa na mbadala.
Nimekubali.we think and act the same my king,hatuwezi kuwa tofauti
mama first,akiuliwa ntampata wapi mwingine ila vigegedo vipo vingi sana.........
Naanza na mama ila hao wanaogegedana hasira za mama angu kupigwa zitaishia kwao