Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
watoto wa siku hizi starehe nyingi.Mi niko hapa tangu FOE hadi leo, naona tofauti kubwa sana iliyopo kati ya wanafunzi wa FOE na COET.Siku hizi yaani wanafunzi wanakula raha kama mangwini.
mbona hapa coet ni kawaida kwa wadada kuonewa huruma,GPA zao zilikua ziko chini ya 1.8 ambayo kwa kawaida mtu unakua umedisco,so wao huwa wanabustiwa.
mkuu nakukubalia kwa 100% hasa ilo lakutochallange malecture,,,tym zote raia wanawaza kudesa angonge pga zake asepe...i thnk kuna sehemu 2mekosea tokea chiniUsharobaro unawaua hao vijana wa EPE, wanataka vitu vyote kwa wakati mmoja wapi na wapi? Mtu unaingia kumfundisha Fundamental of Electrical Engineering, hajui complex number (Form -3, 5 & 6) utamsaidiaje? Na hata ukitaka kumsaidia inabidi uanze kumfundisha kuanzia ya form 2 hadi form 6 which is crazy.
Tatizo siyo walimu wa COET ni vijana wenyewe na mashule wanayotoka huko form 6. Mwanafunzi anapoingia chuo, chuo kinategemea awe amejiandaa kusoma masomo ya elimu ya juu ikiwemo kujua namna ya kujisomea, kupata references kwa ujumla namna ya kupata elimu ya juu.
Badala yake vijana wako busy na mambo mengine kabisa. Hawagusi library (Mtu yuko chuo miaka karibu 3 hajui kusearch vitabu library karne ya 21?), hawaingii vipindi(mtu anakuwa na vipaumbele vingine kabisa wakati yuko shule,what for then?), wakiingia hawaulizi wala kuchallenge chochote(enzi zetu mwalimu akiingia hajajiandaa tunamuumbua na next time atakuja kushusha nondo za ukweli, lakini hawa wa siku hizi bora liende) which means vijana wana tatizo tokea either Form 1 - 4 au F 5- 6.
Nchi yetu ina matatizo ambayo ni general, lakini kwangu mimi matatizo ndo huwafanya watu wafikirie namna ya kupata solutions, badala yake siku hizi kuanzia serikali hadi wananchi wake ni "Bora liende". Kuna kitu tunakikosa, ubunifu wa kutatua matatizo tuliyonayo kwenye jamii zetu.
kwenda fani zipi.?Poleni.lakn subirini pia DISCO za mtaani mkishamaliza huko coet..Nawashauri mbadilishe fani
na madaraja ajenge nan,,?labda anataka nao wakasome community dvt ka yeye.
Electrical engineer hawana msamiati wa 'UNEMPLOYMENT' ,swala ni maslahi mazuri au lah !nyie endeleeni kutoboa tu ila mkija huku kitaa ndio mtakapo ona kweli jua kali maana kuna kitu kinaitwa bench kinasubiri masaburi yenu hayo....JIANDAENI NA UNEMPLOYMENT.
Black and white , huo ndo ukweli ingawaje wenzetu hawataki kuhusikia ,I. electrical power wanachukuliwa na cut off point ndogo hivyo wanashindwa kuresist load kwa mtazamo wangu (hii ni experience ya mwaka nilikuwa na soma na walio nitangulia mwaka wetu walikuwa 20 wakabaki 11 , mwaka waliotutangulia walibaki 15, mwaka tuliowaacha walibaki 7)
Huo special upendeleo umeanza kutolewa lini kwa mtu aliyedisco coet, na unatolewa kwa vigezo gani?
Tulianza wanafunzi 20 katika fani ya electrical power engineering,mpaka hvi ninavoandika hii thread tunao endelea na masomo yan 3rd year tumebaki 6,kati ya hao 6,kuna wasichana wawili ambao nao mwaka huu walikua wamedisco ila wakapewa special upendeleo wakaendelea na masomo,overal GPA Kwa mwaka huu ni 2.6,sio kwamba hatusomi,tunakomaa mbaya yani.najiuliza ni nin kinafanya hapa coet mambo yawe hivi,au ni unoko wa maticha wa hapa au vip ila sipati jibu,huko kwenye department ya civil ndo usipime watu wanadisco kama hawana akil nzuri.tuombeeni tu tutoboe salama wakuu,maana hali ni tete hapa,muda wowote unafungasha virago vyako.
Ukiona game taiti achana na kitabu ukafungue tution center.