wakati mwingine ni bora angabaki bila kujirembaHahahah.
Hizi make up hizi aisee.
Hatarious.
Kama Bomu lilosusa kulipukaNi kweli kabisa mkuu nimejiuliza hivi akiwa hajajiremba anakuaje...?. Hahah.
Acha kabisa aiseee.Hahahah.
Hizi make up hizi aisee.
Hatarious.
Hahaaa. Kabisaaaa.wakati mwingine ni bora angabaki bila kujiremba
Kama hamna hamna tu ndio maana wayaona hayo,makorongo ni mengi kuliko tambarareHahaaa. Kabisaaaa.
Au ajirembe kwa kipimo.
Hahaaaaa. Lol. Ila angekuwa angalau kuliko alivyo sasa hapo.Kama hamna hamna tu ndio maana wayaona hayo,makorongo ni mengi kuliko tambarare
Uuwiii. Na hapo kama ana Mpenzi utakuta alimwambia umependeza lol.
Halafu siku za karibuni hasa Uswahilini pasi hayo Makorokocho yasiyo na kipimo hawaoni kama Singeli la kwenye shughuli linaweza chezeka.