Inde monnie wa kanda bongoman. My first ever bolingo na wa kwanza kuona live in a stadium. Sitasahau japo i was almost crucified for it hehehe.
ha haaaaa, lol!Inde monnie wa kanda bongoman. My first ever bolingo na wa kwanza kuona live in a stadium. Sitasahau japo i was almost crucified for it hehehe.
Kuna mwignine ulikuwa unaimba 'kidekule', nao naupenda.
Najikumbushia tu
Kibuisa Mpimpa - Werrason, sijui hata maana yake
Werrason - Wenge Maison mère Kibuisa Mpimpa - YouTube
Yaani, to my very soul basi tu.
Na wengie mtupiepo...
naona unavotingisha wowowo hapo!Kuna mwignine ulikuwa unaimba 'kidekule', nao naupenda.
Najikumbushia tu
eheheee mimi nimeanza kuona bolingo kwa fm academia makumbusho pale....Inde monnie wa kanda bongoman. My first ever bolingo na wa kwanza kuona live in a stadium. Sitasahau japo i was almost crucified for it hehehe.
Inde monnie wa kanda bongoman. My first ever bolingo na wa kwanza kuona live in a stadium. Sitasahau japo i was almost crucified for it hehehe.
HA ha ha ha, kumbe nyie mliendelea siku nyingi?
Enzi za Kanda bongoman nilikuwa Mwalimu wa Msingi Sangabuye, sikuwa na hela zaidi ya kanda.
Nimecheka, eti crusified.
ahaaaa ulikuwa upo juu kama ulikuwa umemiliki radio ile ilikuwa inaitwa radio cassete sijui?ile radio kule kwetu moshi kijana alokuwa anaimiliki alikuwa anaonekana lulu kama kijana anaemiliki range now! alikuwa anawindwa balaa...HA ha ha ha, kumbe nyie mliendelea siku nyingi?
Enzi za Kanda bongoman nilikuwa Mwalimu wa Msingi Sangabuye, sikuwa na hela zaidi ya kanda.
Nimecheka, eti crusified.