Dah aisee magazeti ya udaku hii sasa ni too much!

2in1

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
211
79
Bomu liwezalo kukausha bahari ya hindi ndani ya dakika kumi
fafc27c446b571ab1d26c9e810a9f23c.jpg
d674d638141fa6dc7eb77303e613d6f5.jpg


Gazeti la sani hilo la leo 7th june 2017, I'm sure kuna mitanzania itaamini hii
 
Halafu wakileta hiyo habari ya USA na Wakorea lazma waseme masaa 24 kitawaka
 
Hao wasomaji wa hayo magazeti akili zao ni nusu Kijiko ..
 
Back
Top Bottom