Dagaa wa kukaangwa wa mwanza

Dagaa wapo tiyari karibuni 0759292980 sana

Sent from my H7 using JamiiForums mobile app
 
Habari pole na kazi, ...mwenye namba mwisho 80 nimetuma pesa 14.7 mpaka leo sijatumiwa dagaa kuna tatizo gani? Kama imeshindikana nirudishie pesa yangu. Na ulisema baada ya 15 utatuma sasa upokei simu wala kujibu sms.
 
Umeniokoa maana nilikuwa mbion kumpa hela
 
jamani hizo pesa zimerudi? bado mnafanya hiyo biashara? mbona matangazo yamepungua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…