Dagaa chele...

wacha kabisa hapo ni hatareeeeee, ugali hapo ni mziki ukisikia hodiii una mkaribisha unampa ICE CREAM atulie hapo maana hajui, hawezi na ndio saizi yake anaendelea na huo mziki wake na mimi huku naendelea huku mnaendelea kupiga story.
Hahaha
 
Chakula kitamu kawaida kuwa na majina mengi. Angalia RICE kwa kiswahili

Mpunga
Mchele
Wali
Ubwabwa
Pilau
Biryani
Pishori
Bokoboko
Pepeta
Etc
Nk
kuna ule mchele wa wahindi unauzwa kwenye kimfuko cha kilo 5 unaitwa Bismati ule ndio mchele grade A+ aseh!.. Sema bei zake na quantity yake tu lakini ningeufanya mlo wangu continuosly!..
 
kuna ule mchele wa wahindi unauzwa kwenye kimfuko cha kilo 5 unaitwa Bismati ule ndio mchele grade A+ aseh!.. Sema bei zake na quantity yake tu lakini ningeufanya mlo wangu continuosly!..
Baba usiongelee basmati kabisa, sijawah kula ubwabwa mtamu kama basmati dunia hii. Yaan wakati nko zenj nimeugonga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…