Dagaa chele...

Hizo ndo mboga za ugali, usiniletee nyama kwa wiki mara 3, lete hizo kwa wiki mara 4 tena mchana na mnafu pembeni au hata bila mnafu lete twendeeeeeeeeeee Grrrrrrrrrrrr chezea wewe
Hahah, mkongwe inaelekea unawaelewa sana
 
Hahah, mkongwe inaelekea unawaelewa sana
wacha kabisa hapo ni hatareeeeee, ugali hapo ni mziki ukisikia hodiii una mkaribisha unampa ICE CREAM atulie hapo maana hajui, hawezi na ndio saizi yake anaendelea na huo mziki wake na mimi huku naendelea huku mnaendelea kupiga story.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…