Dada zetu Weusi - una matatizo gani hadi mjichubue?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,478
39,997
Skin bleaching a growing problem in Jamaica slums

AP – In this photo taken Jan. 14, 2011, Mikeisha Simpson poses for a portrait in Kingston, Jamaica. Simpson, …

By DAVID McFADDEN, Associated Press David Mcfadden, Associated Press – Mon Apr 11, 5:58 am ET
KINGSTON, Jamaica – Mikeisha Simpson covers her body in greasy white cream and bundles up in a track suit to avoid the fierce sun of her native Jamaica, but she's not worried about skin cancer.
The 23-year-old resident of a Kingston ghetto hopes to transform her dark complexion to a cafe-au-lait-color common among Jamaica's elite and favored by many men in her neighborhood. She believes a fairer skin could be her ticket to a better life. So she spends her meager savings on cheap black-market concoctions that promise to lighten her pigment.
Simpson and her friends ultimately shrug off public health campaigns and reggae hits blasting the reckless practice.
"I hear the people that say bleaching is bad, but I'll still do it. I won't stop 'cause I like it and I know how to do it safe," said Simpson, her young daughter bouncing on her hip.
People around the world often try to alter their skin color, using tanning salons or dyes to darken it or other chemicals to lighten it. In the gritty slums of Jamaica, doctors say the skin lightening phenomenon has reached dangerous proportions.
"I know of one woman who started to bleach her baby. She got very annoyed with me when I told her to stop immediately, and she left my office. I often wonder what became of that baby," said Neil Persadsingh, a leading Jamaican dermatologist.
Most Jamaican bleachers use over-the-counter creams, many of them knockoffs imported from West Africa. Long-term use of one of the ingredients, hydroquinone, has long been linked to a disfiguring condition called ochronosis that causes a splotchy darkening of the skin. Doctors say abuse of bleaching lotions has also left a web of stretch marks across some Jamaicans' faces.
In Japan, the European Union, and Australia, hydroquinone has been removed from over-the-counter skin products and substituted with other chemicals due to concerns about health risks. In the U.S., over-the-counter creams containing up to 2 percent hydroquinone are recognized as safe and effective by the U.S. Food and Drug Administration. A proposed ban by the FDA in 2006 fizzled.
Lightening creams are not effectively regulated in Jamaica, where even roadside vendors sell tubes and plastic bags of powders and ointments from cardboard boxes stacked along sidewalks in market districts.
"Many of the tubes are unlabeled as to their actual ingredients," said Dr. Richard Desnoes, president of the Dermatology Association of Jamaica.
Hardcore bleachers use illegal ointments smuggled into the Caribbean country that contain toxins like mercury, a metal that blocks production of melanin, which give skin its color, but can also be toxic.
Some impoverished people resort to homemade mixtures of toothpaste or curry powder, which can stain skin with a yellowish tint.
The Jamaican Ministry of Health does not have data on damage caused by skin-bleaching agents, though dermatologists and other health officials say they have been seeing more cases.
Eva Lewis-Fuller, the ministry's director of health promotion and protection, is redoubling education programs to combat bleaching in this predominantly black island of 2.8 million people, where images of fair-skinned people predominate in commercials for high-end products and in the social pages of newspapers.
"Bleaching has gotten far worse and widespread in recent years," she said. "(Bleachers) want to be accepted within their circle of society. They want to be attractive to the opposite sex. They want career opportunities. But we are saying there are side effects and risks. It can disfigure your face."
Health officials are running warnings on local radio stations, putting up posters in schools, holding talks and handing out literature about the dangers. But a similar anti-bleaching campaign in 2007 called "Don't Kill the Skin" did nothing to slow the craze.
The bleaching trend is sparking a growing public debate. Even dancehall reggae hits celebrate the practice, or condemn it.
The most public proponent of bleaching is singing star Vybz Kartel, whose own complexion has dramatically lightened in recent years. His 'Look Pon Me' contains the lines: "Di girl dem love off mi brown cute face, di girl dem love off mi bleach-out face."
Kartel, whose real name is Adijah Palmer, insists that skin bleaching is simply a personal choice like tattooing.
Christopher A.D. Charles, an assistant professor at Monroe College in New York City who has studied the psychology of bleaching, said many young Jamaicans perceive it "as a modern thing, like Botox, to fashion their own body in a unique way."
Others, however, say it raises awkward questions about identity and race.
"If we really want to control the spread of the skin-bleaching virus, we first have to admit that there's an epidemic of color prejudice in our society," said Carolyn Cooper, a professor of literary and cultural studies at the University of the West Indies, writing in The Jamaica Gleaner newspaper.
Felicia James, a 20-year-old resident of the Matthews Lane slum, said skin bleaching just makes her feel special, like she's walking around in a spotlight. She was taught to bleach by her older sister and her friends.
"It's just the fashionable thing to do. After I bleach, I'm cris," she said, using a Jamaican term for cool. "Plus, a lot of the boys are doing it now, too."

My Take:
Hili suala lipo pia kwa baadhi ya Wamarekani weusi na sehemu mbalimbali ambapo kina dada weusi wanajaribu sana kulighten their skin ili wawe na weupe weupe kidogo.

a. Je yawezekana ni sisi wanaume ndio tunawapa dada zetu kibarua hicho kwani tunaonekana kuupima "uzuri" kwa rangi ya "weupe"?

b. Je ni kasumba ya ukoloni ambayo bado inaendeleza fikra kuwa "weupe ni bora" kuliko weusi?

c. Je ni hisia ya uduni kwa baadhi ya watu weusi ambao wanataka kuonekana na rangi ya kizungu kizungu hivi?

d. Mpenzi wako akianza kujichubua na kuwa mweusi mweusi hivi inakuwaje?

e. Je dada zetu mkikutana na kijana mweusi tii mtajali kama na yeye akianza kujichubua kidogo apate shades za weupe weupe?

LAKINI SWALI HIVI UEUSI UNA MATATIZO GANI?
 
Mimi sioni tatizo lolote ...kuna very naturally beautiful black women, proud of their colour and strutting their stuff...

Mimi mwenyewe ni blakiii

Nafikiri ni ile imani tu...zamani usukumani cheupe ng'ombe 40 cheusi 20...so hiyo ilianza hata kabla hatujawa westernized...sijui mabinti weusi usukumani enzi hizo walikomaje !

Kuna notables waliokuwa blakii sasa hivi cheupe kama Luiza Mbutu, ukiangalia wimbo wake 'tumetoka kwetu mahenge, tumekuja dar es salaam , kucheza ngoma' full black, lakini ndani ya twanga tayari cheusi kawa cheupe...
 
Wanaume wanamchango mkubwa sana kwa kina dada kujichubua.
Media na advert pia zinapotray uzuri ni kuwa 'mweupe', skinny na extensions (nywele)
In short most of the reasons ulizotaja zina mchango ktk hili!
 
a. Je yawezekana ni sisi wanaume ndio tunawapa dada zetu kibarua hicho kwani tunaonekana kuupima "uzuri" kwa rangi ya "weupe"?

Nadhani hapa hakuna kundi pekee la kulaumiwa. Lawama zinastahili kwa jamii nzima, wake kwa waume.

b. Je ni kasumba ya ukoloni ambayo bado inaendeleza fikra kuwa "weupe ni bora" kuliko weusi?
Hilo ni wazi kabisa. Angalia tu hata kwenye lugha. Tunaona kaujiko flani hivi kutema ung'eng'e. Tena siku hizi ndo balaa kabisa. Watanzania wanaoongea lugha bila kuchanganya ni wachache mno. Kila mtu lazima achomekee vijineno vya Kiingereza ili sijui aonekane naye kastaarabika? Kiswahili chetu naanza kuona dalili kuwa kinapotea. Naombea isiwe hivyo.

c. Je ni hisia ya uduni kwa baadhi ya watu weusi ambao wanataka kuonekana na rangi ya kizungu kizungu hivi?
Hakika ni uduni na si jingine. Na si kuonekana na rangi ya kizunguzungu tu, angalia wadada wanavyojishonea nywele bandia na za watu waliokufa ulaya na Asia. Kwa hiyo wanataka kuwa weupe weupe, na kama hiyo haitoshi wanataka na kuwa na nywele za kizunguzungu. Za kipilipili zina ubaya gani? Ni wazi kuwa mtu anaposhonewa nywele bandia zinazofanana na za wazungu huyo hazipendi nywele zake za asili. Uongo au kweli? Tena wengine wanaweka na "bangs" kabisa. Wengine wanashonewa ndefu ndefu halafu wanakuwa wanajibinua binua shingo zao ili zisiwazibe macho. Yaani ni vituko na burudani kamili.

LAKINI SWALI HIVI UEUSI UNA MATATIZO GANI?
Hauna matatizo yoyote. Wenye matatizo ni watu weusi na wala sihitaji kukuonyesha hayo matatizo. Nadhani hata wewe unayaona.

Akhsanteni kwa kunisoma.
 
Skin bleaching a growing problem in Jamaica slums

AP – In this photo taken Jan. 14, 2011, Mikeisha Simpson poses for a portrait in Kingston, Jamaica. Simpson, …

By DAVID McFADDEN, Associated Press David Mcfadden, Associated Press – Mon Apr 11, 5:58 am ET
KINGSTON, Jamaica – Mikeisha Simpson covers her body in greasy white cream and bundles up in a track suit to avoid the fierce sun of her native Jamaica, but she's not worried about skin cancer.
The 23-year-old resident of a Kingston ghetto hopes to transform her dark complexion to a cafe-au-lait-color common among Jamaica's elite and favored by many men in her neighborhood. She believes a fairer skin could be her ticket to a better life. So she spends her meager savings on cheap black-market concoctions that promise to lighten her pigment.
Simpson and her friends ultimately shrug off public health campaigns and reggae hits blasting the reckless practice.
"I hear the people that say bleaching is bad, but I'll still do it. I won't stop 'cause I like it and I know how to do it safe," said Simpson, her young daughter bouncing on her hip.
People around the world often try to alter their skin color, using tanning salons or dyes to darken it or other chemicals to lighten it. In the gritty slums of Jamaica, doctors say the skin lightening phenomenon has reached dangerous proportions.
"I know of one woman who started to bleach her baby. She got very annoyed with me when I told her to stop immediately, and she left my office. I often wonder what became of that baby," said Neil Persadsingh, a leading Jamaican dermatologist.
Most Jamaican bleachers use over-the-counter creams, many of them knockoffs imported from West Africa. Long-term use of one of the ingredients, hydroquinone, has long been linked to a disfiguring condition called ochronosis that causes a splotchy darkening of the skin. Doctors say abuse of bleaching lotions has also left a web of stretch marks across some Jamaicans' faces.
In Japan, the European Union, and Australia, hydroquinone has been removed from over-the-counter skin products and substituted with other chemicals due to concerns about health risks. In the U.S., over-the-counter creams containing up to 2 percent hydroquinone are recognized as safe and effective by the U.S. Food and Drug Administration. A proposed ban by the FDA in 2006 fizzled.
Lightening creams are not effectively regulated in Jamaica, where even roadside vendors sell tubes and plastic bags of powders and ointments from cardboard boxes stacked along sidewalks in market districts.
"Many of the tubes are unlabeled as to their actual ingredients," said Dr. Richard Desnoes, president of the Dermatology Association of Jamaica.
Hardcore bleachers use illegal ointments smuggled into the Caribbean country that contain toxins like mercury, a metal that blocks production of melanin, which give skin its color, but can also be toxic.
Some impoverished people resort to homemade mixtures of toothpaste or curry powder, which can stain skin with a yellowish tint.
The Jamaican Ministry of Health does not have data on damage caused by skin-bleaching agents, though dermatologists and other health officials say they have been seeing more cases.
Eva Lewis-Fuller, the ministry's director of health promotion and protection, is redoubling education programs to combat bleaching in this predominantly black island of 2.8 million people, where images of fair-skinned people predominate in commercials for high-end products and in the social pages of newspapers.
"Bleaching has gotten far worse and widespread in recent years," she said. "(Bleachers) want to be accepted within their circle of society. They want to be attractive to the opposite sex. They want career opportunities. But we are saying there are side effects and risks. It can disfigure your face."
Health officials are running warnings on local radio stations, putting up posters in schools, holding talks and handing out literature about the dangers. But a similar anti-bleaching campaign in 2007 called "Don't Kill the Skin" did nothing to slow the craze.
The bleaching trend is sparking a growing public debate. Even dancehall reggae hits celebrate the practice, or condemn it.
The most public proponent of bleaching is singing star Vybz Kartel, whose own complexion has dramatically lightened in recent years. His 'Look Pon Me' contains the lines: "Di girl dem love off mi brown cute face, di girl dem love off mi bleach-out face."
Kartel, whose real name is Adijah Palmer, insists that skin bleaching is simply a personal choice like tattooing.
Christopher A.D. Charles, an assistant professor at Monroe College in New York City who has studied the psychology of bleaching, said many young Jamaicans perceive it "as a modern thing, like Botox, to fashion their own body in a unique way."
Others, however, say it raises awkward questions about identity and race.
"If we really want to control the spread of the skin-bleaching virus, we first have to admit that there's an epidemic of color prejudice in our society," said Carolyn Cooper, a professor of literary and cultural studies at the University of the West Indies, writing in The Jamaica Gleaner newspaper.
Felicia James, a 20-year-old resident of the Matthews Lane slum, said skin bleaching just makes her feel special, like she's walking around in a spotlight. She was taught to bleach by her older sister and her friends.
"It's just the fashionable thing to do. After I bleach, I'm cris," she said, using a Jamaican term for cool. "Plus, a lot of the boys are doing it now, too."

My Take:
Hili suala lipo pia kwa baadhi ya Wamarekani weusi na sehemu mbalimbali ambapo kina dada weusi wanajaribu sana kulighten their skin ili wawe na weupe weupe kidogo.

a. Je yawezekana ni sisi wanaume ndio tunawapa dada zetu kibarua hicho kwani tunaonekana kuupima "uzuri" kwa rangi ya "weupe"?

b. Je ni kasumba ya ukoloni ambayo bado inaendeleza fikra kuwa "weupe ni bora" kuliko weusi?

c. Je ni hisia ya uduni kwa baadhi ya watu weusi ambao wanataka kuonekana na rangi ya kizungu kizungu hivi?

d. Mpenzi wako akianza kujichubua na kuwa mweusi mweusi hivi inakuwaje?

e. Je dada zetu mkikutana na kijana mweusi tii mtajali kama na yeye akianza kujichubua kidogo apate shades za weupe weupe?

LAKINI SWALI HIVI UEUSI UNA MATATIZO GANI?
nílipata bahati ya kuandka thread cku chache zilizopita,nilihoji je? Mwanamke kujichubua c kuukana uafrica? Wengne wakasema eti uafrica si weusi.amazing.........................
 
The world is just funny, just imagine na hawa akina dada wa kizungu wanao-enlarge their lips, kuongeza ukubwa wa maziwa na pia miguu, vitu ambavyo kwa watu weusi they are just natural !!!!!!!!

Pia mkuu u have just made me laugh and re-assess my thinking towards urembo-kuchonga though bila kujua. Kuna dada hapa ofisini ame-enlarge lips zake and she looks so cute (In my standards) lakini nna uhakika dada huyu angekuwa mweusi akajichubua angeni-turn off kabisa as I usually do.
 
Lakini inakuwaje kwa mfano baadhi yetu wenye nywele za kipilipili ambazo kuchana hadi uje na greda; mtu ukaamua kuweka texturizer nywele zikawa na mawimbiwimbi na si kipilipili tena je nako ni uduni au kujirahisishia mambo?
 
Kwangu mimi huo nao ni uduni tu. Kwa sababu kuna mbadala wa kujirahisishia mambo. Nyoa nywele zako ziwe fupi na hutapata shida ya kuzichana.
 
Mhh hili swala gumu.

Wazungu wanashinda JUANI wakijianika ili wawe Brown na jua likikosekana basi wanaenda kuotea JUA la bandia kwenye Saloons.

Weusi nao wanatafuta dawa ili wawe weupeweupe kidogo.

Nafikiri lengo hasa la watu ni kujiweka tofauti na wengine wengi waliopo hapo alipo.

Hebu fikiria WEMBAMBA wa dada zetu wengi huku Africa, ndiyo maana akitokea mwenye mzinga wa mapaja na makalio, watu wanatoa macho hata kama mama ni mnene kama Li-Sanamu la Michelin.
Ukienda kwa Wazungu basi unakuta huko karibu woote ni WANENE kwa ajili ya vyakula wanavyokula na kutokuwa na mizunguko mingi (wanaogopa baridi). Sasa kakitoka ka-binti kembamba, basi wote wanatowa macho.

Amini usiamini, Wazungu wengi wanatoa macho wakiona mwanamke mweusi. Na unaposema mweusi siyo hawa akina Angle Damas. Anataka mdada kama Fidela sijui!?!? Mweusiiii kama chungu cha Makande.

Ila utashangaa kuwa wengine pamoja na UNENE au WEMBAMBA au WEUSI wao jambo ambalo ungelitegemea wakose SOKO, wao ndiyo unakuta wamekuwa maarufu kwa sababu hizohizo ambazo wengine wanazikataa.

9781844084425.jpg
FIDE.jpg
 
Mimi sina ugomvi na mtu anavyoamua kuufanya na kuutumia mwili wake, lakini kama ni kupenda, napenda weusi. "The more the black, the most beautiful".
Pamoja na hayo, ikiwa nimempenda kama alivyo, kwa nini nisimpende kwa atakavyoamua kujiweka iwe ni kujichubua, kujianika juani, kuvaa nywele bandia n.k? Lakini kama atanishauri, nitamwomba abakie na rangi asilia.
 
Wanawake / wanaume woooooooooooooote wanaojichubua HAWAJIAMINI , HAWAJAJITAMBUA KAMA WAO NI WAZURI / wanamvuto WAKIWA WEUSI, bali UZURI / mvuto wao UPO TU PALE WANAPOKUWA WEUPE.
Haijalishi ana umri gani,ana wadhifa gani, msomi kiasi gani au hajasoma, tajiri au masikini, tatizo kubwa ni KUTOJIAMINI TU.
 
wapendwa,

haya mambo yana mizizi yake mahali fulani ndani ya jamii zote za mwanadamu.

tangu zamani mwanamke au msichana amekuwa akipewa nafasi kulani zaidi ya ile ya wavulana katika kusheheshesha, au niseme katika kukoleza shughuli fulani fulani. mfano katika harusi bibi arusi aweza kutumia masaa chungu nzima saluni akirembwa wakati bwana arusi akishaoga na kuvaa suti yake tu, its done! bibi arusi akipendeza, basi harusi nayo imefana, nafikiri siku mkishuhudia bibi arusi anaingia kanisani au ukumbini na nywele timtim na asiyependeza, hiyo ndiyo itakayogeuzwa simulizi la harusi ile, kwa nini? jamii yenyewe inamtarajia msichana awe mrembo na macho yote imeelekeza kwake, kwa hiyo wasichana tumekuwa tukijitahidi bila kujali gharama za urembo kuonekana kama jamii inavyotegeme kukutuona.

suala la skin bleaching, haliko kwa weusi pekee, hata kwa weupe lipo! na hata mtu mweusi aliiga huo utundu toka kwa weupe. weupe wana rangi nyingi sana na wengi wanatumia sana make-ups na hair wigs! na hata strong cremes kwa jaili ya kuweka sawa ngozi zao. huko ulaya na asia wasichana warembo ni wale wanaowaka yaani weupe peeee kama karatasi. ukimkuta msichana weupe wake una dalili za wekunduwekundu hivi huchukuliwa kama masikini na siye mrembo na atajitahidi sana kutumia strong cosmetics kuwa mweupe peee ili ajisikie kuwa kapendeza.

niliwahi kuzungumza na CEO wa shirika moja hapa dar amabye ni mwanamke kuhusiana na matumizi ya vipodozi akaniambia kuwa anatumia kwa sababu ya kutambua kuwa jamii inamtazma kwa jicho kali kama mwamanamke na aina ya kazi na majukumu yake ni rahisi kusemwa na jamii iliyomzunguka hasa ikihusishwa na jinsia yake. hivyo anapojiremba hujisikia kajiongezea self confidence. baada ya kumdadisi sana alikiri kuwa hufanya vile kwa sababu ya jamii na sio kwamba anapenda sana mambo hayo.

nilimuuliza pia kuhusu bajeti yake ya urembo, hakuweza kukumbuka kwani alikuwa hatunzi kumbukumbu ya matumizi ya urembo kwenye daftari, ila alisema amewahi kuagiza nje ya nchi vifaa vya urembo na kulipa zaidi ya dola 3,500 kama gharama na nilipomuuliza mapambo mengine aliyovaa alinununa sh. ngapi, alisema kuwa tangu ameshika nafasi aliyo nayo huvaa vito vya thamani isiyopungua milioni 4 kila atokapo ndani ya nyumba yake!

wapendwa, haya mambo si ya kuyachukulia kirahisirahisi hivyo, yana mizizi mirefu sana
 
Hapa swala hili ni gumu kiasi sababu hapa naona vyombo vya habari kama runiga,radio,na magazeti zimechangiya sana mabo ya dada zetu kuingilia hali ya kujichubua ili wawe warembo zaidi,lakini hawaoni madhara yake siku za uzeeni maanake twa waona mitaani wanapowacha kutumia vipodozi hivyo sura hugeuka hata akawa siowakutamanika tena,namalizia nikisema God had a purpose why he created u black and u should be pround of that.

thank you.
 
Ni ukosefu wa shukran kwa Muumba na kuendekeza matamanio ya dunia yasiyozidi miaka kumi.
 
Lakini inakuwaje kwa mfano baadhi yetu wenye nywele za kipilipili ambazo kuchana hadi uje na greda; mtu ukaamua kuweka texturizer nywele zikawa na mawimbiwimbi na si kipilipili tena je nako ni uduni au kujirahisishia mambo?
Mara nyingi ukipiga brush nywele fupi huwa zinakuwa na vimawimbi mawimbi bila hata ya kuweka "360 style" ila mimi sioni tatizo la kuweka "pomade" kama utaona inakupeneza. Kwa hiyo MMJ kama unapiga unyunyu kama mnugu poa tuu.
 
Back
Top Bottom