dada zetu thamani ya mapaja ndio basi?

dada zetu thamani ya mapaja ndio basi?

Polen ndg msio na uvumilivu! Hawa they ar so called chicks nowdays they don value their diginities, all the time they keep themselves thinking about how to catch people's intentions! Wel done dadas mkikua mtaacha. Historia ni mwalim mzur kwani weng waljisahau wakafanya makubwa zaid ya hayo but now are regretting their maddy dexon they made!
 
sasa wata olewaje kama upaja hatuuoni wewe...wacha wavae bwana tuone utamu sie..kwanza mie naona wavae boylegs hapo ndio raha
 
Mimi sipendi mijitu minene, yenye kitambi na inayotoka sana jasho na kunuka saaaaaaaaana harufu za sigara au pombe.Mimi naona wasiruhusiwe kupanda mabasi au kuonekana hadharani.

duh am just speechless:shut-mouth:
 
Halafu watasema siku hizi wanaume sio waoaji, wanaishia kuzitafuta ndoa usiku na mchana. Mwanamke kujistiri tena hasa ukiwa mke wa mtu. Tunatakiwa tuwaache wanaume wapate imagination "hivi huyu dada akivua hiyo jeans mapaje yakoje?" ila siku hizi yawachwa wazi kama benchi la kituo cha basi
 
Mapaja ya mwenzio wewe yanakusumbua nini? Tatizo la wanaume wa kibongo ni uroho ndiyo unaowasumbua, akishaona mapaja tu mimate kibao inamtoka kama fisi kaona mzoga.
 
Kuvaa mini skirt ni kama fashion nyingine tu, haina shida. Mimi huwa nazipiga vizuri sana tu, sema mimi huwa sipandi daladala tu labda ndio tofauti huyo dada. Mimi nimelelewa hivi na offcourse nimekuwa nikiona picha za akina mama wa zamani walikuwa wanavaa miniskirt hasa, sio kama sisi leo, zao zilikuwa fupi zaidi!! So sometimes najiuliza hii habari ya kuporomoka maadili, na madada kuvaa nguo fupi ilianza lini, miaka ya 1940s au? Sioni tatizo dada akivaa miniskirt! Kuhusu matiti na mengineyo sitachangia kwa sasa!
Hao mama zetu walikuwa wanavaa hizo nguo fupi wakati wa kupiga picha tu kisha wanazivua ama wavae chumbani wakiwa wenyewe ama na waume zao, ama kwenye matukio maalum yanayoruhusu kama sherehe za ndani, michezoni nk.

Kumbuka zamani kupiga picha lilikuwa ni tukio adimu na muhimu sana, yaani kabla ya kupiga picha kwanza mtu anaoga, anajipamba vizuri na kupulizia hata pafyumu!!

Ulikuwa huwezi kuwaona barabarani wanatembea wakiwa wamevaa hizo nguo, maana mila, desturi, tamaduni na sheria ndogo ndogo zilikuwa zinakataza sana.

Siku hizi mnatembea na hizo nguo barabarani na mnataka kupiga picha bila nguo!!!!
 
Sikutaka kucomment lkn imenibidi.
Sioni shida mtu kutembea anavyotaka mradi havunji sheria ya nchi.

Kama yeye mvaaji haimsumbui kwanini wewe jirani ikusumbue?

Ukisema maadili au mila, what if yeye sio muumini au hamshei naye same maadili?

Tatizo liko kwako wewe mtazamaji, uwezo wako wa kushindana na vishawishi ni mdogo. Kuna mtu alisema akiona ulimi anachanganyikiwa sasa watu wavae mask?

Wanaosema biashara matangazo, nani hatangazi? Wangapi mnaenda kwa hair cut au hata kuazima Magari ili wadada wavutiwe nanyi si matangazo hayo.

Let those girls be, ukiwa embarassed jifungie kwako usiwaone!
 
habari za jioni wanajamii? Nipo kwenye daladala natoka kwenye mihangaiko yangu hapa maeneo ya ubungo
kuna dada kaka jirani yangu kavaa umini a.k.a mini skirt wa kufa mtu na umepanda hadi taiti yake nyeupe inaonekana ila ye' haonekani hata kujali hiyo hali na sio kwamc hajui.
Jamani imefikia hau thamani ya mapaja na maziwa ya dada zetu kushuka thamani hivyo!? Kina kaunga na lara nangoja hoja zenu bila kusahau Preta na smile
kiukweli haka ka utamaduni ka mzungu kanatusitiri sana kwani ukiangalia enzi zile makabila mengi walikuwa wasichana walikuwa wanatembea kifua wazi na kasketi ka kizushi kusitiri kdg tu bt mapaja, kiuno, kifua na sehemu nyingi zilibaki wazi.
huoni kuwa hao wanao tembea hivo wanadumisha mila halisi za kiafrika!
 
Wanaume hamna jema.
Tukivaa majuba mnatusema,
tukivaa Mini ndo kbs,sasa mwatakaje?

Madame B; kusema kweli kuna mavazi mengine hadi yanatia kinyaa na mbaya zaidi kuna wengine wanaovaa kwa kuangalia fulani kavaaje bila kujiangalia umbo la mwili wake.
 
Wakiona haitoshi,wasivae hata blauz,waache hv2 tuone km mungu hajawahsha siku ya mwisho
 
Vaa nomal! Kwel ht we dada unashabikia hlo haya ukibakwa utamlaumu nan?
 
Back
Top Bottom