BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Ni wewe ama??...usinambie unavaa kimino!!
..mie mpenzi wa suruali ingawa napenda kuona wadada wakiachia mapaja....haswa akiwa maji ya kunde.....paja linakuwa limeng'aa zaidi mashalaaaaaah..
Ni wewe ama??...usinambie unavaa kimino!!
habari za jioni wanajamii? Nipo kwenye daladala natoka kwenye mihangaiko yangu hapa maeneo ya ubungo
kuna dada kaka jirani yangu kavaa umini a.k.a mini skirt wa kufa mtu na umepanda hadi taiti yake nyeupe inaonekana ila ye' haonekani hata kujali hiyo hali na sio kwamc hajui.
Jamani imefikia hau thamani ya mapaja na maziwa ya dada zetu kushuka thamani hivyo!? Kina kaunga na lara nangoja hoja zenu bila kusahau Preta na smile