Mbona watu wengi sana nowadays hawaoi hapa kwetu wanaenda nchi zingine? Mnashida gani hebu tuambieni sisi wanaume then naona kwa binafsi yangu kama mpo too selective? Wengi mnatukana sana matusi Instagram, ushabiki kwa udaku udaku tuu, hakuna tabia kama ya wanawake kama Zari mfano sio muongeaji yupo kimya kupiga pesa, haya huyu wa AY nae hana hayo, tazama sasa Kiba nae kaenda kuoa Kenya. Nasikitika sana kuwaona mnatumika tuu, miss Sepetu anadanga tuu, Penny nae alitumika, kina Shishi wanaishia kuforce vindoa visivyorasmi, haya kwa ndikumana nadhani napo mnaona hali ilivyo, haya angalieni pia kwa Wolper hali hiyo hiyo tuu. Nilitegemea muwe mfano kwa wanawake wotee Tanzania na kuhamasishana sio kwa mwanamke star au wakawaida mgekuwa na Tabia njema. Igeni basi hata kwa Zamaradi ni mwanamke anaejielewa sana pamoja na kuachika ktk ndoa yake ya awali still kasimama hadangi huku na huku kaolewa katulia anatafuta pesa tuu.
Kuna jambo naliwaza sana tatizo lenu sijui ELIMU kichwani ni shida au nini? Uwongo Mbaya wanawake wa Tanzania ni wazuri sana maumbo yao, muonekano kadhalika Tabia baadhi ila kwa nini hamuolewi? Hebu mfano humu jf wa kina Demiss, Mzigua90, na wengine wengi angalia post zao then ufikirie ni aina gani ya wanawake tulio nao na tabia zao hapa Tz. Nimalizie kwa kusema Mbadirike kaka zenu tunaumia sana.View attachment 749766
kalete hako kamtory mkuuwanataka waolewe na wenye degree.......lkn nashangaa hao vijana wa degree wako wengi tu mtaani nao hao hawataki kuwaoa hawa wadada....hahahahahaaaaaa.
Kuna kastori natamani niwasimulie kuhusu hii inshu wadada kutokuelewa ....hahahahaaaa ni true story
Sasa unataka kila anaeoa aweke mabango? Halafu unanipenda eeh. Naona umeniweka mfano wa wanawake wa Tanzania kwanini hawaolewi.
Na nyie kaka zetu mjiulize kwanini dada zenu wanaolewa nje na sio kuolewa na nyie. Hii ni two way traffic msijisahaulishe
Lakini ujue wanawake wapo wengi kushinda wanaumeSasa unataka kila anaeoa aweke mabango? Halafu unanipenda eeh. Naona umeniweka mfano wa wanawake wa Tanzania kwanini hawaolewi.
Na nyie kaka zetu mjiulize kwanini dada zenu wanaolewa nje na sio kuolewa na nyie. Hii ni two way traffic msijisahaulishe
Na suala la kutokuolewa kwa wanawake kunawasumbua wanaume kuliko hata wanawake wenyewe.Sasa unataka kila anaeoa aweke mabango? Halafu unanipenda eeh. Naona umeniweka mfano wa wanawake wa Tanzania kwanini hawaolewi.
Na nyie kaka zetu mjiulize kwanini dada zenu wanaolewa nje na sio kuolewa na nyie. Hii ni two way traffic msijisahaulishe
Tumuulize kwanza na yeye kaoa nchi gani?Kuolewa watu wanaolewa sana tu, sema mada haikutakiwa iwe kwa nini wanawake watanzania hawaolewi?? Ilitakiwa aseme kwa nini hawa bongo movie hawaolewi na wabongo flavor?
Kwa sababu ndoa kila leo zipo huku mtaani zinafungwa, kwa hiyo ukisema wanawake watanzania kwa nini hawaolewi inaleta utata kidogo.
Ni kweli ila kwahiyo akisema hatuolewi wote ajue haiwezekani wote tuolewe wengine inatosha kuwa nyumba ndogo za watuLakini ujue wanawake wapo wengi kushinda wanaume