Wasi wasi wote wa nini, ngoja niseme ukweli,
mwili wangu mzuri, kila vazi linakubali,
uzuri wangu wa kuzaliwa, maringo kwetu kawaida.
Nikitembea mtakubali, nikicheka mtakubali,
Nikiimba mtazimia eeeh wazi wazi.
Hamuwezi kunyamaza eeh, hamuwezi kunyamaza eeeh,
Hamuwezi kunyamaza eeeh, mpaka mseme kila sikuuuu.