Dada zetu sasa mmezidi!!!

BIG Banned

JF-Expert Member
May 4, 2012
262
71
Yani kuanzia Chini mpaka Juu ni bandia tu!!

Kucha - Bandia!
Macho - Bandia!
Nywele - Bandia!
Meno - Bandia!
Rangi - Bandia!
Makalio - Bandia!
Maziwa - Bandia!
Bikra - Bandia!

Shida yote ya nini hii!!
 
Yani kuanzia Chini mpaka Juu ni bandia tu!!

Kucha - Bandia!
Macho - Bandia!
Nywele - Bandia!
Meno - Bandia!
Rangi - Bandia!
Makalio - Bandia!
Maziwa - Bandia!
Bikra - Bandia!

Shida yote ya nini hii!!

Wewe mbona unatumia ID bandia??
 
Dawa ya kichina babu wewe ukipewa ya kunywa kataa, haijui kuchagua! Utaumuka mwili mzima kama puto! Kwa taarifa yako manyonyo, miguu na makalio tunapaka dawa ya kuongeza! Tumbo tunapaka ya kupunguza!
Hivi kope bandia umetaja, manake zangu kama ufyagio wa choo cha shimo (wa chelewa)
Bikra bandia ndiyo ikoje? Au wanaifix vipi? Maana tunajua masaburi bandia wanakunywa vidonge mchina
 
Tatizo wanafikiri ili mwafrika awe mzuri, ni lazima awe kama mzungu! Puuuuuh! Tuheshimu u-AFRIKA wetu. Laiti kama wangejua jinsi relaxer inavyotengenezwa? Wasingethubutu kukaanga nywele.
 
hehehee...bandia everywher..ila rangi bandia naona sasahv imepitiliza maana hawa bongo stars wetu loh!
 
Yani kuanzia Chini mpaka Juu ni bandia tu!!

Kucha - Bandia!
Macho - Bandia!
Nywele - Bandia!
Meno - Bandia!
Rangi - Bandia!
Makalio - Bandia!
Maziwa - Bandia!
Bikra - Bandia!

Shida yote ya nini hii!!

Then wanapopata fake lover they keep on blaming!
 
Wewe mbona unatumia ID bandia??

Kwani mtu akisema 'dada yangu au zetu' ni kwamba ni mwanaume? Au akisema 'kaka zetu' ni mwanamke? Je, aliyeanzisha hii thread ni mwanaume kwa sababu amesema 'dada zetu'?
 
Back
Top Bottom