Dada zetu samahani!! Mwanaume hafuatiliwi

Piga chini, vuta mwsnamke mwingine they are so many out there wanahitaji ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PREEEEEEEEEEEEEEEEEACH SON!
 
Hao ni wehu kweli unajua kama unapewa hela ya matumizi hamna shida basi ila unajua tatizo nini.
Ninyie wanaume mnamuonyesha kuwa umepewa K huko nje madharau unapunguza upendo uko busy na simu matumizi hutoi yanayotosha unamjibu jibu mkeo kwanini asiwe namakisio kuwa unamtu.
Hivi utaonyeshaje kama wewe sio boya.
Kuna wanawake wanawivu na wanahisi.
Kuwa uko na mtu ila wengine mapenzi ni kitu kimoja kizuri mmpendwa ukiwa na mahusiano tena yandoa angalia usije ukamuumiza yule wandani.
Shauri yako akianza yeye usichukie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadhi ya vimeo vya sikuhz haridhishi mtu wake ndani anawahi nje
Akisaidiwa anataka kuwa mkali
Ukali wa nini jmn kila mtu ana hisia
 
Hakuna jambo zuri kama uhuru...sitaki anifatilie wala mie simfatilii

Simu yake yake,yangu yangu
Sikufuatilii ila nakudukua kama vile agent wa FBI, na huwezi ona nikishika simu yako hata sekunde moja. Na sitakuuliza ukitoka eti unaenda wapi? Wala sikuulizi ulipotoka nasubiri ripoti yako ya kinafiki tu baada ya kukojolewa huko.

Zaidi nakwambia baby hebu njoo nikuage basi, nakupiga busu la msambwanda alafu navuta zangu kitabu changu cha Al Koran. Bring Out The Magic in Your Mind.


Kifuatacho utafurahi kama wewe mdangaji. Kwa kuwa sina guarantee ya kuishi na wewe milele hapo chochote kinatokea saa yoyote tu. !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume na mwanamke hawafanani, hiyo inaapply kwenu tu!

Role ya mwanaume kwenye familia inampa rights zote juu ya mwanamke wake na sio vice versa.

Sent using Boeing 737-MAX 8
 
Mwanaume na mwanamke hawafanani, hiyo inaapply kwenu tu!

Role ya mwanaume kwenye familia inampa rights zote juu ya mwanamke wake na sio vice versa.

Sent using Boeing 737-MAX 8
Mnatimiza sasaa
Mtu ukute mkeo ndo analisha we unajenga unadhani kuna habari ya no viceversa hapo subutuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…