Umezungumza vyemaDuuh hayo ni mahusiano au vita? Nataka nione hivyo vinavyofichwa ili nijue exactly nipo na mtu wa aina gani kabla sijaingia kwenye commitment kubwa zaidi. Siungi mkono tabia ya kupekuana ila pia siungi mkono suala la kuiogopa simu ya mwenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo.Mhhhhh
Marahaba mpenzi, naona unatema madini jotoShikamoo.
Nipo nalea mkemwee ndio maana nakosa muda wa kuingia huku
Hongera sana mama.Nipo nalea mkemwee ndio maana nakosa muda wa kuingia huku
Nipo nalea mkemwee ndio maana nakosa muda wa kuingia huku
Asanteh dia,Hongera sana mama.
Hahahah
Kama mna kawaida ya kupeana simu lazima akasirike ukimnyima yako
Jitahidi dear ulezi unaraha yake mwaya [emoji4]Ooh hongera mamaa kumbe mpenzi wetu keshafanya mambo hongera sana ngoja na mimi NIJITAHIDI
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli hata mimi naonaJitahidi dear ulezi unaraha yake mwaya [emoji4]
Kwani umbeya huwa mnatulia mao.Tuambie uliyoyajua
Khaa....Kama unavyokera na harufu ya miguu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamefichwa wakafichika.Asanteh dia,
Tumepoteana vipi wengine wapo wapi?
Sasa si uwaite waje watupe darasa hapa?Wamefichwa wakafichika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa si uwaite waje watupe darasa hapa?
Nawakubali sana japo ni mabinti wabishi mno
Thubutu!!Hakuna jambo zuri kama uhuru...sitaki anifatilie wala mie simfatilii
Simu yake yake,yangu yangu