Dada zetu pitia hii mada utajifunza kitu.

Dada zetu pitia hii mada utajifunza kitu.

Tatizo humu wanaotaka kuolewa wachache boss.
Namanisha mabint humu hamna ungepeleka facebook na insta huko.
Huku tuna wamama na single mom tu.
 
Atafute house gal amfanyie hizo kazi anazotaka
Sasa huyu mwenzetu anataka demu wake afanye majukumu ya mke wakati yeye analamika kuhudumia wakati ni jukumu la mume. Nonsense!
 
Siyo lazima kuolewa wanawake wengii wanaume wachache kupigwa mashine kila sku yataka moyoooo
 
Nadhani ni muda muafaka yatambulike majukumu ya mke, girlfriend na house girl
Majukumu yapo wazi yanaeleweka. Wanaume wa zamani sidhani kama walikuwa wanapeleka wanawake getto. Walikuwa wanafata process za kupata mke wanaweka ndani. Saaa huyu mwenzetu mambo yake ni ya kisasa lkn anataka wanawake wawe na tabia za wanawake wa kizamani. Haitawezekana.
 
Ukitaka ufanyiwe hayo tafuta house gal mkuu sio lazima wote tuolewe wengine tumepangiwa kucheza kwaito za wenzetu halafu kingine mwanaume muoaji anaonekana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] woozer woooooozer
 
Nimekushindwa tabia, nakugawa
Akupikie,akufulie amekuwa mke wako? Acha kupekeka demu kwenye ghetto lako, kama shida ni kumgonga basi nendeni guest house..mpeleke ghetto mwanamke ambaye tayari mmeshaanza process za ndoa.
Na hii tabia ya kusema wanawake wa siku hizi wapo hivi ingependeza kama ukadate na wa zamani maana wapo. Kupanga ni kuchagua!
 
Kufuliwa kupikiwa..sijawa housegal wala mkeo kwahyo tusichoshane..ajili mtumishi akusaidie hizo kazi

Nitafanya hayo nikishakua mkeo tu
 
Back
Top Bottom