Dada zetu na tabia ya kutelekeza watoto…..!

Dada zetu na tabia ya kutelekeza watoto…..!

watateseka vipi kama wazazi wao wako hai,

Asnam, haya mambo ya familia wewe yasikie tu. Wakati mwingine huwa ni magumu na ni rahisi kwa watu kuwa dismissive lakini huwa yanatokea na yanatokea sana tu.

Unauliza watateseka vipi kama wazazi wao wako hai? Sidhani kama uko naive kiasi hicho kukosa kujua kuwa si wazazi wote ambao ni wawajibikaji na wenye kutimiliza majukumu yao kama wazazi.

Mdada (kama huyo binamu yangu niliyemzungumzia hapo juu) ambaye yeye mwenyewe hajijali, hajali wala hajishughulishi kuwatafuta wazazi wenzie ili washirikiane kulea mtoto/watoto wao, ambaye anaendekeza starehe zaidi kuliko chochote au yeyote yule, ambaye anabadili wenza kama anavyobadili chupi, kweli unategemea aweze kutengeneza mazingira mazuri ya kuishi na mtoto au watoto?

Hujawahi kusikia watu wakiwekeza zaidi kwenye starehe na urembo na kutelekeza kabisa majukumu yao kama wazazi? Mfano kutokuwalisha vizuri watoto, kubadili wanaume mara kwa mara - jambo ambalo si zuri kufanya mbele ya watoto wadogo na hao wanaume wanaweza wakawa hawawatendei vyema hao watoto, na kadhalika.

hii mambo tunayaendekeza wenyewe matokeo yake unakuta bibi analea wajukuu zaidi ya watano hana mbele wala nyuma hayo si ndo mateso kwa watoto,mama anapotunza watoto wake kwa shida ndipo anapopunguza kukata nyonga kwa kasi maana anajua mzigo ulivyo mzito,bora nionekane sina huruma kuliko kupeana majukumu mazito mazito kama haya wakiwa yatima nitalea tofauti na hapo no no no.

Well, ni rahisi sana kusema hivyo kama hayajawahi kukukuta. Na pia si rahisi kuelewa huwa inakuwa kuwaje hadi kufikia hali hiyo kama hujawahi kuyapitia kwa namna moja ama nyingine.

Lakini watu tumetofautiana. Tumetofautiana mambo mengi ikiwemo tajiriba za kimaisha. Wengine wakiwa na watoto ambao wameshindikana na kuharibikiwa wanaona kukataa watoto wa watoto wao ni jambo ambalo haliwezekani. Hivyo, kama kwako linawezekana na kukubalika kwa mwingine linakuwa haliwezekani wala halikubaliki.
 
Nyani Ngabu asante kwa kumfafanulia Kiranga naona atakua ameelewa!

Sijui nyie wenzangu lakini mimi kusema ukweli nina ukoo mkubwa sana na katika ukoo wangu kuna watu wa kila aina.

Kuna walevi, kuna waathirika, kuna wasomi waliobobea kweli kweli, kuna vibaka, kuna ambao kazi yao seemingly ni kuzaa tu, yaani you name it, wapo!

Hivyo nina anecdotes za kutosha kabisa. Tena hili la watu kuzaa na kwenda kurundika watoto kwa babu na bibi ni jambo la kawaida sana.

Usiniambie wewe hujui hata mtu mmoja aliyefanya hivyo!
 
Asnam, haya mambo ya familia wewe yasikie tu. Wakati mwingine huwa ni magumu na ni rahisi kwa watu kuwa dismissive lakini huwa yanatokea na yanatokea sana tu.

Unauliza watateseka vipi kama wazazi wao wako hai? Sidhani kama uko naive kiasi hicho kukosa kujua kuwa si wazazi wote ambao ni wawajibikaji na wenye kutimiliza majukumu yao kama wazazi.

Mdada (kama huyo binamu yangu niliyemzungumzia hapo juu) ambaye yeye mwenyewe hajijali, hajali wala hajishughulishi kuwatafuta wazazi wenzie ili washirikiane kulea mtoto/watoto wao, ambaye anaendekeza starehe zaidi kuliko chochote au yeyote yule, ambaye anabadili wenza kama anavyobadili chupi, kweli unategemea aweze kutengeneza mazingira mazuri ya kuishi na mtoto au watoto?

Hujawahi kusikia watu wakiwekeza zaidi kwenye starehe na urembo na kutelekeza kabisa majukumu yao kama wazazi? Mfano kutokuwalisha vizuri watoto, kubadili wanaume mara kwa mara - jambo ambalo si zuri kufanya mbele ya watoto wadogo na hao wanaume wanaweza wakawa hawawatendei vyema hao watoto, na kadhalika.

Well, ni rahisi sana kusema hivyo kama hayajawahi kukukuta. Na pia si rahisi kuelewa huwa inakuwa kuwaje hadi kufikia hali hiyo kama hujawahi kuyapitia kwa namna moja ama nyingine.

Lakini watu tumetofautiana. Tumetofautiana mambo mengi ikiwemo tajiriba za kimaisha. Wengine wakiwa na watoto ambao wameshindikana na kuharibikiwa wanaona kukataa watoto wa watoto wao ni jambo ambalo haliwezekani. Hivyo, kama kwako linawezekana na kukubalika kwa mwingine linakuwa haliwezekani wala kukubalika.

na kweli tunatofautiana kwani naamini huyo binamu yako kadri mnavyowapokea watoto ndo mnampa kiburi cha go ahead and bring another kid,kama ni mzima kwanini msimkalishe chini na kumbebesha watoto wake akikaa nao hata miezi sita huo urembo wote utaisha na hiyo dhana mliyomjengea itabadilika kwani atatambua uzito wa mizigo yake,binadamu wengine hatuelewi kwa maneno mpaka damu zitoke sikioni kama kenge ndo tushituke,tusipende kuwaendekeza watu bhana.
 
Naelewa sana unachokisema lakini unapoona kitoto cha miezi sita au mwaka mmoja kipo mbele yako na kama ni mtu mwenye huruma sana na una soft spot na watoto, msimamo waweza kubadilika.

Nina marafiki kadhaa waliokuwa katika interracial relationships na wazazi wa hao wenza wao wa kizungu waligoma kuwakubali wajukuu kabla ya kuzaliwa (kwa sababu za kibaguzi) lakini baada ya watoto kuzaliwa na wao kuviona vitoto vilivyo vizuri wakabadili misimamo yao ya kibaguzi na kunywea kabisa.

Ila watu tuko tofauti. Some people don't budge.
 
mhhhhhhhh haya we mtaka statistics
kama kusoma hujui basi bila shaka utakuwa unaona
sina maana ya kukukwaza
kuna vitu vingine unatumia observaton method njia ya kawaida ambayo hata kipofu anaiweza

Sijakataa.

Ila atueleze kaona wapi?

Buguruni kwa Mnyamani au wapi? Tujue mawio na machweo ya habari hizi.
 
Naelewa sana unachokisema lakini unapoona kitoto cha miezi sita au mwaka mmoja kipo mbele yako na kama ni mtu mwenye huruma sana na una soft spot na watoto, msimamo waweza kubadilika.

Nina marafiki kadhaa waliokuwa katika interracial relationships na wazazi wa hao wenza wao wa kizungu waligoma kuwakubali wajukuu kabla ya kuzaliwa (kwa sababu za kibaguzi) lakini baada ya watoto kuzaliwa na wao kuviona vitoto vilivyo vizuri wakabadili misimamo yao ya kibaguzi na kunywea kabisa.

Ila watu tuko tofauti. Some people don't budge.

sikatai kulea wajukuu kama economic status ya familia inaruhusu hela ya chai asbh,chakula mchana na jioni pia waswahili wanasema kutenda kosa sio kosa ila kurudia kosa ndio kosa,kila siku utakua unapokea wajukuu kutoka kwa mtu huyo huyo wakati uchumi hauruhusu hapana kwakweli lasivyo kama hana uwezo wa kuchangia kipato abaki kulea watoto wake hata kama ni kuwafulia nguo na kuteka maji maana vijijini maji ni tabu.
 
Let me vouch for Mtambuzi. Mimi ninao binamu kadhaa (wa kike) ambao wamezaa watoto na kwenda kuwarundika kwa mama zao (bibi wa watoto).

Kuna mmoja karundika wanae watatu kwa mama yake (shangazi yangu/bibi wa wanae). Alizaa mara ya kwanza tukadhani ni bahati mbaya na atajifunza, wapi. Akapeleka mtoto kwa shangazi, baba wa mtoto hajulikani alipo, shangazi akawa mlezi asilimia 100.

Mara ya pili tena akapigwa kibendi akazaa, mzunguko ule ule ukajirudia. Mtoto analelewa na shangazi hadi leo hii. Mara ya tatu hivyo hivyo. Baba wa hawa wawili wanajulikana lakini hata hajishughulishi nao kuhusiana na wanae.

Sasa hivi ni mjamzito tena na anaishi na mwanaume. Hao wanae watatu wanaoishi kwa shangazi hajui wanakula nini, hajui shuleni wamesoma nini kwa sababu haishi nao na wala hajishughulishi katika maisha yao ya kila siku.

Hatoi mchango wowote ule wa kifedha. Hela za nguo, sare za shule, karo, na mahitaji mengine hatoi kama inavyopaswa hivyo majukumu yote hayo yanamuangukia shangazi.

Yeye kazi yake ni kula starehe tu na wanaume zake huko. Hata huyu mwanaume aliyenaye sasa wamekutana huko huko kwenye maviota ya starehe.

Kwa hiyo kwa maongezi tu ya kawaida kama hapa jamvini sidhani kama mtu anahitaji kuja na takwimu za tafiti rasmi kama ulivyohoji.

Ni mambo yaliyo kwenye familia za kutosha kabisa (kiidadi) kuweza kuwa ni moja ya mambo yanayojulikana kwa uwazi.

Familia yenu (au sehemu yake iliyo immediate) imewaandaaje hawa kinadada?

Isije kuwa matatizo ni ya familia tangu malezi huko halafu tunatafuta majibu rahisi kwa kulaumu kinadada.

Ndiyo maana nauliza sample space kwa sababu nataka kwenda kwenye chanzo cha tatizo.

Kusema tu "kinadada hivi" haisaidii.

Na wengine wanaokua na kuona style hivi familia inawasomeshaje?

Na hao kinababa wanaoacha wana wao walelewe bila wao kujua wanalelewaje jamii inawaonaje?
 
ktk hali ya kawaida hili jambo ni common sana sio kila kitu mpaka iletwe statistics ndo ikuingie akilini kwani we umekulia Europe kwamba hiki kitu ni kigeni maskioni na machoni kwako.

Statistics/ anecdote ni muhimu katika uchunguzi wa kutafuta tatizo. Tusiishie kutaka kutafuta wa kumlaumu tu, bali tutafute chanzo hasa.

Tatizo linaweza kuwa umasikini, malezi, kukosa elimu etc.

Huwezi kutatua tatizo kwa kukubali habari za jumla jumla tu, ni muhimu kujiuliza maswali ili kutafuta mzizi.

Kusema nataka statistics/ anecdotes haina maana nakataa tatizo halipo, nataka kulielewa zaidi.

Mtu kashatoa personal anecdote na tunaendelea kuchambua hapa. Sio lazima utoe statistics kutoka idara ya sensa.
 
Sijui nyie wenzangu lakini mimi kusema ukweli nina ukoo mkubwa sana na katika ukoo wangu kuna watu wa kila aina.

Kuna walevi, kuna waathirika, kuna wasomi waliobobea kweli kweli, kuna vibaka, kuna ambao kazi yao seemingly ni kuzaa tu, yaani you name it, wapo!

Hivyo nina anecdotes za kutosha kabisa. Tena hili la watu kuzaa na kwenda kurundika watoto kwa babu na bibi ni jambo la kawaida sana.

Usiniambie wewe hujui hata mtu mmoja aliyefanya hivyo!

Jamii yetu yenyewe imejikita katika habari za "kila mtoto atakuja na riziki yake" na "utajiri wa muafrika watoto".

Ukimwambia mtu mimi sijazaa kwa sababu zangu binafsi anakushangaa kama vile ukizaa atakusaidia kulea.

Halafu wakinadada wakijiachia kufuata misingi ya "kila mtoto anakuja na riziki yake" na "utajiri wa muafrika ni watoto" tunawashangaa tena!

Tuanze kupiga vita hizi attitudes kwanza kabla ya kuwashangaa hawa kinadada.
 
Statistics/ anecdote ni muhimu katika uchunguzi wa kutafuta tatizo.

Tatizo linaweza kuwa umasikini, malezi, kukosa elimu etc.

Huwezi kutatua tatizo kwa kukubali habari za jumla jumla tu, ni muhimu kujiuliza maswali ili kutafuta mzizi.

Kusema nataka statistics/ anecdotes haina maana nakataa tatizo halipo, nataka kulielewa zaidi.

Mtu kashatoa personal anecdote na tunaendelea kuchambua hapa. Sio lazima utoe statistics kutoka idara ya sensa.
Sijakataa.

Ila atueleze kaona wapi?

Buguruni kwa Mnyamani au wapi? Tujue mawio na machweo ya habari hizi.
ndivyo ulivyokua unamaanisha au?
 
Sijakataa.

Ila atueleze kaona wapi?

Buguruni kwa Mnyamani au wapi? Tujue mawio na machweo ya habari hizi.
ndivyo ulivyokua unamaanisha au?

Ndivyo,

Mali bila daftari, hupotea bila habari.

Hoja bila statistics na revealing anecdotes ni kama hadithi.

Nyani kashafunguka hapo tumeanza ku question malezi, kwa sababu inaonekana mifano yake imetoka katika familia.

Mtambuzi angesema kaona hizi habari sehemu yenye umasikini fulani, au ukosefu wa elimu fulani, tungeweza kupata pa kuanzia kuchunguza.

Lakini kuja kuwalaumu kinadada tu bila habari kupata hata anecdote kama si statistic kunakuwa ni kulaumu kuliko jumla, hakuna tija zaidi ya kusimanga.

Tunatafuta fumbuzi zenye zaidi ya masimango.
 
mleta uzi nadhani amekusikia.
 
Familia yenu imewaandaaje hawa kinadada?

Well, hakuna maandalizi yoyote yale mahsusi zaidi ya kufunzwa right from wrong, n.k. Kwanza Wasukuma wa kwetu hawana mambo ya kama kumweka ndani mdada kimwali mwali na kumfunza mambo ya kimaisha. Sasa Wasukuma ni kabila kubwa na wanatokea sehemu nyingi hivyo siwezi kujua kwa uhakika sana kuhusu Wasukuma wa kwingine lakini kwetu hatuna huo utaratibu.

Lakini cha kushangaza ni kwamba baadhi ya siblings wa kike wa huyo binamu wao hawako hivyo! Hivyo sidhani kama maandalizi have anything to do with it because they all grew up in the same household.

Isije kuwa matatizo ni ya familia tangu malezi huko halafu tunatafuta majibu rahisi kwa kulaumu kinadada.

Sidhani kama matatizo ni ya familia na malezi kwa sababu niliyoitaja hapo juu (ya siblings).

Ndiyo maana nauliza sample space kwa sababu nataka kwenda kwenye chanzo cha tatizo.

Vyanzo ni vingi ikiwemo vicious circle (cycle). Wapo ambao wanazaliwa, kukulia, na kulelewa katika mazingira ya single parent homes hali ambayo hufanya na wao wawe likely kuishia kwenye hali waliyoikuta. Lakini pia wapo ambao sababu ni unexplained. Mtu umezaliwa katika two parent household, wazazi wanajiweza, malezi mazuri, lakini baadhi ya watoto wanaishia kuharibikiwa na wengine wana-turn out vizuri tu. Hii scenario ndiyo hiyo ya huyo binamu yangu sasa. Na pia nina mjomba upande wa mama ambaye naye hivyo hivyo. Tofauti yeye ni mwanaume tu. Lakini hali ni ile ile - baadhi ya siblings wana maisha mazuri kabisa lakini yeye ndo hivyo tena. Ni kunywa gongo mwanzo mwisho na kuzalisha tu halafu hao wazazi wenzake wanaenda kubwaga watoto kwa babu na bibi.
Sasa sijui kwa nini inakuwa hivyo ila nilishawahi kusoma makala moja katika New England Journal of Medicine kwamba kuna genetic predisposition to alcoholism, promiscuity, and other vices lakini matokeo ya hiyo study hayakuwa conclusive.

Kusema tu "kinadada hivi" haisaidii.

I could be wrong but I think sometimes you can be a rigid disciplinarian for no good reason. It's like you are so stuck in your ways to not allow any flexibility in you thought! The setting here is casual. People bring and talk about life experiences in a very casual way. Yes, statistics, research findings, and all that jazz are good. But come on, does every conversation about life need to be backed up by statistics? Oh well....

Na wengine wanaokua na kuona style hivi familia inawasomeshaje?

Na hao kinababa wanaoacha wana wao walelewe bila wao kujua wanalelewaje jamii inawaonaje?

Mimi kama umenifuatilia humu kuhusu malezi, wajibu, na majukumu ya wazazi basi utajua kuwa I am very hard on deadbeat dads. Kuzaa na kutokutimiza wajibu wako kama mzazi si sawa hata kidogo. Ubaya tu Tanzania hatuna mfumo wowote ule wa kueleweka kama ilivyo kwa Marekani na child support recovery and enforcement services.

Kwa mfano, hili ndilo dhumuni la Georgia Department of Human Services - Division of Child Support Services

The Division of Child Support Services (DCSS) helps children by enforcing parental responsibility to pay financial support.

All Georgia families have access to DCSS services, which include assistance with locating non-custodial parents, confirming paternity, establishing and enforcing child support and medical support orders, and collecting and distributing payments. DCSS also provides the Georgia Fatherhood Services Network and the Access and Visitation Program, both devoted to increasing non-custodial parent involvement in a child's life.

Unaweza kubofya hapa kwa info zaidi.

Wenzetu hawana mzaha!
 
Jamii yetu yenyewe imejikita katika habari za "kila mtoto atakuja na riziki yake" na "utajiri wa muafrika watoto".

Ukimwambia mtu mimi sijazaa kwa sababu zangu binafsi anakushangaa kama vile ukizaa atakusaidia kulea.

Halafu wakinadada wakijiachia kufuata misingi ya "kila mtoto anakuja na riziki yake" na "utajiri wa muafrika ni watoto" tunawashangaa tena!

Tuanze kupiga vita hizi attitudes kwanza kabla ya kuwashangaa hawa kinadada.

Hilo la attitudes mbovu mbovu nalikubali kabisa. Ngoja nitoe mfano mwingine ambao unaweza kuwashangaza kidogo watu humu.

Sometime late last year, after my dad's obsequies, mmoja wa ndugu akanijia na kuniambia bila aibu kwamba "wewe sasa ndiyo tunakutegemea". Mind you, jamaa ni mtu mzima na watoto na wajukuu kabisa.

I was like WTF? Mnanitegema? Kwa lipi? Nikamwambia hapana, msinitegemee mimi. Kila mtu ajitegemee kivyake. Mimi najitegemea mwenyewe sasa iweje nyie watu wazima na wanenu mnitegemee mimi?

Sasa hizi ndizo hizo attitudes unazozizungumzia hapa na ni ambazo pia zinachangia baadhi ya hizi tabia za utegemezi tegemezi kwenye jamii yetu.
 
::
Siku hizi anazaa mwanamke asipolea yeye basi kimbilio ni wazee kama hawapo au hawako tayari basi ITALEA DUNIA.
=
 
Mtambuzi nimeipenda mada yako na nimefurahi kuiona hapa jamvini. Binafsi na mimi nilikuwa najiuliza sana inakuwaje mdada anazaa mtoto anakwenda kumtelekeza kwa babu na bibi kwa kisingizio cha kutafuta pesa au maisha! Nikubaliane na wewe kuwa wengi wao huwasahau watoto kwa babu na bibi na kujikuta wanawaongezea mzigo zaidi hiyo familia.

Ukifikiria zaidi, kuna hasara kubwa ya kufanya hivyo. Kwanza kuna uwezekana ya watoto kukosa malezi bora yanayowastahili kwa wakati huu. Malezi tuliyolelewa sisi ni tofauti kabisa na malezi ya kizazi hiki cha dijitali! Vile vile, mara nyingi watoto hao hujikuta wanapoteza haki yao ya msingi ya kupata elimu bora. Huko kwa baba na bibi, wakijitahidi sana huishia kiumaliza shule ya msingi. Jambo la tatu, kila mtoto ana haki ya msingi ya kupata upendo wa wazazi yaani baba na mama, Suala la kuwapeleka huko ni kuwanyima haki yao ya msingi.

Lakini cha kujiuliza ni kuwa chanzo cha tatizo hili nini? Je ni hali ngumu ya maisha? Au je, ni mimba zinazokataliwa? Na kama ni mimba au watoto wanaokataliwa na baba zao chanzo ni nini, kukosa uaminifu ktk ndoa? Kusingiziana au kubambikiwa au kutegewa mimba kabla ya maandalizi? au ni kitu gani?

Nahisi ndugu yangu Mtambuzi, tuna kila sababu ya kufikiri zaidi ya kuwatelekeza watoto kwa babu na bibi!
 
Last edited by a moderator:
Kina dada wanajipa mimba na kuzaa wenyewe?

namimi nilitaka kuhoji hivi wanaokataa mimba nao hawakatai watoto?? yupi ni afadhali nayemwachia mama(bibi) kijiini alee ama anayejivua kabisa jukumu la kulea mtoto??
Kiranga naamini utakubaliana na mimi ingekuwa kila baba anakubali mzigo wake hata kimatumizi tu kwamba atawajibika kutoa matumizi yote kwa mwanae naamini watoto hawa wasingekuwa hivi walivyo.

ninawapenda sana wanaume ambaye akizaa ata kama ni nje atajutia kosa lake lakin hata kaa kimya atataka aleee mwanae yeye mwenyewe hata kama ana mke tena nafagilia yule ambaye huleta mwanae wa kambo nyumban na kumlea pamoja na wengine kwa upendo na mtoto akawa na heshima.

lakini pia kuna watu wenye uwezo wao kielimu na kiuchumi ila tu jukumu la kulea bado kwao hawalipendi ama wanamwangusia bibi sijui hawa nao ni watu wa aina gani. ninao mfano wa ukoo wangu kwamba haya yanatokea
 
Sijui nyie wenzangu lakini mimi kusema ukweli nina ukoo mkubwa sana na katika ukoo wangu kuna watu wa kila aina.

Kuna walevi, kuna waathirika, kuna wasomi waliobobea kweli kweli, kuna vibaka, kuna ambao kazi yao seemingly ni kuzaa tu, yaani you name it, wapo!

Hivyo nina anecdotes za kutosha kabisa. Tena hili la watu kuzaa na kwenda kurundika watoto kwa babu na bibi ni jambo la kawaida sana.

Usiniambie wewe hujui hata mtu mmoja aliyefanya hivyo!

NN umenichekesa sana manake nimejikuta naanza kuesabu familia kwenye ukoo wetu na kuangalia tabia za kila mmoja.

ngoja nikwambie true story ukoo wangu ninaomilikiwa nao kwasasa una mambo tofauti kidogo. hasa hii familia niliyoungana nayo. think of watoto ni matajiri na wasomi waliobobea wengine wanaish overseas na makazi ya maana but watoto wao wamemrundikia bibi. hawa wapo kama wajukuu 13 hivi mtu pekee ambaye hajapeleka mtoto kwa bibi ni mimi na hubby.

sasa wajua malez ya bibi yalivyo hata kama mtu utatoa milions of money for maintenance bado pia upande wa nidham utakuwa umelega sana. naona tabia za watoto hawa adi nakerekwa nazo eti mjukuu 12 yrs still wetting the bed and nobody can can him?? ama kabinti ka 13 yrs hata kufuta meza baada ya kula hakawez?? simply kwasababu wazazi wao wanauwezo wa kutoa hela watu wakaajiriwa kufanya hivyo ama kununua magodoro mapya kila mwezi??

Binafsi huwa nasemaga mtu anayelundika mtoto kwa bibi iwe ni kwakuwa ana uwezo ama hana bado wanakosea sana sana. leo ii nikikwambia twende kwetu utalia na mama ameridhika na hali hii. katika familia ambazo utakuta wavulana na wasichana wakubwa ila wasiojiweza hata kwa kufagia uwanja ni kwenye ukoo wangu.
 
Kina dada wanajipa mimba na kuzaa wenyewe?

This is a million dollar question! Asante Kiranga nimekupigia makofi. Kabla ya kuwalaumu kinadada kutelekeza watoto hebu jiulize kinakaka ambao ni baba wa hao watoto wako wapi wasiwalee watoto wao? Kila mtoto ana mama na baba hivyo wote kwa pamoja ni wakulaumiwa na si akina mama peke yao.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom