Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 569
halafu utaambiwa roho kawashukia! fyuuuu..
Mkuu englibertm huwa nakubali hoja zako sana ila katika hili naomba nikupinge. Kwanza unajaribu kupotosha ukweli maana hakuna kanisa lenye mabango ya matangazo ya biashara nyuma, pili hayo makopo ya bia/malta guiness hapo chini huwa yananywewa kanisa gani?