Dada zetu, hii maana yake nini?


Nakupendajee sasa!!
 

Asante sana mkuu!
 
Hiyo inaitwa "territorial marking", hata mbwa hukojolea sehemu anazopita ku mark territory yake. Sasa hivyo vijijanakike unavyofanya navyo zinaa vinaweka marking yao.

Kapime UKIMWI.

Nimeshapima mara kadhaa mkuu, niko salama kabisa!
 
ni kweli kufanya hvyo il m2 akija ajue unampenz hasa mgen wa kike ambae huna udugu nae coz kuna wengne huwa wanakuja kuchunguza mtakuta mmewambia hamna wapenz akja kwako akikuta hvyo mnaachana xo inapendeza kuacha poch,khanga na chup 2
 

Mi nimepapenda hapo kwenye shemale!!
 
kuacha nguo hakumaanishe kuchunga kwanza nikiacha kitu mahali ni kwa kusahau sio kwa kuchungua kwanza mtu akitaka kufanya lolote chupi au ped haiwezi zuia kitu....mwanamke unaachaje ped na chupi mezani naweza kusema ni uchafu.....jiamini kama unataka kuacha vifaa vyako kwa bf wako weka kabatini au sehemu husika
 
Ila na nyie mkome, mcheze kwa step. Mnajidai playas wakati hamuyawezi. Playaz walikuwa baba zetu nyie bwana wanna be playaz.

Now stone me but thats the truth.

Mkuu ulianza vzr ila unataka kuharibu huku mwishoni.

Mipasho ya nini tena!

Umetiririka na kueleweka vzr.

Inatosha.
 
Ivi hizi mada huwa wana copy na kupaste?
Niliwahi iona hii huku, anyway mie sina jibu.

Mwenyewe hadi nimeagalia tarehe ya kuposti nilidhani ni ya 2013 labda mtu mwingine kachangia ndio maana ameirudisha mapokezi!
 

Logical thinking...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…