Dada zenu JIJINI...

Dada zenu JIJINI...

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,141
Reaction score
950


Wanawake wanaotuhumiwa kufanya biashara ya ukahaba wakiwa Chini ya Ulinzi wa askari kwenye Mahakama ya Jiji la Dar es Salaam, baada ya kukamatwa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kinondoni kwenye oparesheni ya kuwakamata inayofanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipilisi Kinondoni, jumla ya watuhumiwa 14 pamoja na baadhi ya wateja wao wamefikishwa kwenye mahakama hiyo.

1.JPG


Wanawake hao wakiwa na baadhi ya wateja waliokutwanao wakifanya ngono baadhi yao wakificha sura zao.
8.JPG

Wakiwasili kwenye mahakama ya jiji huku wakificha sura ili wasionekane.
6.JPG
a
 
Wangekuwa Netherlands ingekuwa tofauti.

Poleni dada zangu, najua wengi wenu hampendi muyafanyayo.
 
Haaaahaaaa! Utamwambiaje mkeo ukikamatwa ba maswahibu hayo?
 
huyo mmoja mbona kama mjamzito, au alikuwa anatafuta wa kumuongezea mtoto maskio au macho

Chezea wanaume ? Yaani mtu anapiga changudoa kavu kavu, mimba hiyo inawezekana ikawa ya polisi au mgambo wa jiji kama sio mwanafunzi wa UDSM, Ustawi au wale wazee wa kuliwa "back" wasimamizi wa fweza kule Kigamboni!
 
Pia wamo humu wanaoifanya hiyo bizinee online e-maarketing , waje huku mitandaoni pia wawakamate.
 
hawazijui haki zao;kuomba kurasimisha kazi zao au kutungiwa sera,na kama haitoshi waunde chama chao.
 
Serikali inkosa mapato hivihivi, halafu inalia haina vyanzo vya mapato inang`ang`ania kupandisha kodi ktk soda
 
Back
Top Bottom