Dada Zangu...

Nimepata taswira ya sikukuu hapa mkuu..............huna oicha ya mchele hapo pembeni?
 
Naiweka hii picha kwa ukumbusho wa vizazi vijavyo ......................
 
Yaano ulivyoweka zulia tu hapo chini tayari ni kiashiria cha departure point
 
sasa mkuu unataka ikunwe ya mkwe ama ya mume??
 
waijua maana ya nazi wewe??
basi nikifunguka uzi utapandishwa juu.

kiufupi tu, nazi ya mkwe hukunwa kwa staili tofauti na nazi ya mume.

Nimekuelewa......... na nazi naijua vizuri tuu

Ya mkwe



Ya mume

 
waijua maana ya nazi wewe??
basi nikifunguka uzi utapandishwa juu.

kiufupi tu, nazi ya mkwe hukunwa kwa staili tofauti na nazi ya mume.

afu ajabu, wakati tunafundishwa kukuna nazi na mama, tumefundishwa kukuna ya mkwe. Hivi hakuna style ya kukuna nazi ya mama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…