DUUH KWAKWELI MUDA UNAO MKUUNimei copy X
Leo nimeshuhudia fedheha.
Yaani leo ilikuwa birthday ya dem mmoja hivi karibu na hapa ofisini, sasa ana jamaa anayempenda kweli. Na Jamaa sijui machale yakamcheza kutaka kujua yupo peke yake kwa dem, so akamuandalia zawadi nyingi tu na nyingine akamtumia kupitia mtu mwingine.
Guess wat ......!!
- Alimnunulia gari Cx3
- Simu kali iPhone sijui toleo lile
- Viatu kama pair 2 vile niliona
- Pia niliona kibunda nadhani km mil 3 au 4 na vitu vingine maana sio vyote kafungua.
Sasa vitu vyote akampa jamaa mmoja (delivery) na namba ya simu ya yule demu kwamba akifika ampe, ILA kampa starti moja yule delivery kuwa akifika amwambie ampigie mpenzi wake amshukuru kwa kumletea zawadi zile.
Hahaaaaa hapo ndio kimbembe kilianza, kumbe demu ana washikaji wengi aseeeh...akaanza kupiga simu ya kwanza akidhani ni huyo katuma, kumbe hata sio, akaomba msamaha akakata simu. Akapiga mtu wa pili pia sio yeye kamtumia. Akapiga simu ya tatu kwa mwingine pia sio yeye.
Delivery akachoka kusubili dem anavyobahatisha simu akaamua aondoke, ile anaondoka akakumbuka jamaa mmoja hivi sasa akahisi ni yeye katuma zile zawadi ikabidi amkimbilie yule delivery ampigie ili jamaa asiondoke na zile zawadi. Sasa pale amemfikia simu ikawa tayari ipo hewani akaanza kuongea nae kumbe pale pale waliposimama ndipo mwenye ametuma vitu vile yupo. Akawa anamsikiliza tu dem anavyoongea akiwa ndani ya gari na yule wa kwenye simu akakataa kuwa hatajatuma zawadi yeyote kwake.
Delivery naye akaona dem miyeyusho akamwambia jamaa aliyemtuma. Bro chukua vitu vyako demu mwenyewe amebahatisha wanaume huyo anayeongea wa 4, jamaa akachukua vitu vyake, muda huo demu bado alikuwa akiongea na simu.
Sasa dada kumaliza kuongea na simu anageuka anashangaa jamaa au tuseme mshikaji wake ndiye kasimama mbele amebeba zile zawadi. Kuangalia huku na huku yule delivery hayupo akamshobokea jamaa et bebi woooow. Nakwambia kamsukuma hata hatajaamini maskini.. aloooh ilikuwa aibu. Kamwambia akomae na alowapigia na gari mpya karudi nalo.
Oya dada mnaouza sijui nguo sijui vipodozi na viatu punguzeni leo mwenzeni kimemkuta huku nadhani amejifunza kubaki na jamaa mmoja.
Sijui hata birthday yake itaendaje huko aliko
Nimekumiss siku hizi umepoa umepunguza kufokea wanawake, kuna wifi yangu kakutuliza huko sio bure,Ni stori ya uongo ila wanawake malaya wana cha kujifunza
Anaweza kuwa na pesa ila ananuka mdomo balaaKapoteza bahati...una mpenzi mwenye pesa afu unacheat !? Sijui utatoa sababu gani....
Nimekumiss siku hizi umepoa umepunguza kufokea wanawake, kuna wifi yangu kakutuliza huko sio bure,
😂 Kelsea Njoo uone mdogo wako huku anavyoandika smsHivi vidada ni vipumbavu sana ona hiki
View attachment 3125859
Hata kapicha ulikosa na hekaheka zote hizo ....ongezea mdalasini ....Nimei copy X
Leo nimeshuhudia fedheha.
Yaani leo ilikuwa birthday ya dem mmoja hivi karibu na hapa ofisini, sasa ana jamaa anayempenda kweli. Na Jamaa sijui machale yakamcheza kutaka kujua yupo peke yake kwa dem, so akamuandalia zawadi nyingi tu na nyingine akamtumia kupitia mtu mwingine.
Guess wat ......!!
- Alimnunulia gari Cx3
- Simu kali iPhone sijui toleo lile
- Viatu kama pair 2 vile niliona
- Pia niliona kibunda nadhani km mil 3 au 4 na vitu vingine maana sio vyote kafungua.
Sasa vitu vyote akampa jamaa mmoja (delivery) na namba ya simu ya yule demu kwamba akifika ampe, ILA kampa starti moja yule delivery kuwa akifika amwambie ampigie mpenzi wake amshukuru kwa kumletea zawadi zile.
Hahaaaaa hapo ndio kimbembe kilianza, kumbe demu ana washikaji wengi aseeeh...akaanza kupiga simu ya kwanza akidhani ni huyo katuma, kumbe hata sio, akaomba msamaha akakata simu. Akapiga mtu wa pili pia sio yeye kamtumia. Akapiga simu ya tatu kwa mwingine pia sio yeye.
Delivery akachoka kusubili dem anavyobahatisha simu akaamua aondoke, ile anaondoka akakumbuka jamaa mmoja hivi sasa akahisi ni yeye katuma zile zawadi ikabidi amkimbilie yule delivery ampigie ili jamaa asiondoke na zile zawadi. Sasa pale amemfikia simu ikawa tayari ipo hewani akaanza kuongea nae kumbe pale pale waliposimama ndipo mwenye ametuma vitu vile yupo. Akawa anamsikiliza tu dem anavyoongea akiwa ndani ya gari na yule wa kwenye simu akakataa kuwa hatajatuma zawadi yeyote kwake.
Delivery naye akaona dem miyeyusho akamwambia jamaa aliyemtuma. Bro chukua vitu vyako demu mwenyewe amebahatisha wanaume huyo anayeongea wa 4, jamaa akachukua vitu vyake, muda huo demu bado alikuwa akiongea na simu.
Sasa dada kumaliza kuongea na simu anageuka anashangaa jamaa au tuseme mshikaji wake ndiye kasimama mbele amebeba zile zawadi. Kuangalia huku na huku yule delivery hayupo akamshobokea jamaa et bebi woooow. Nakwambia kamsukuma hata hatajaamini maskini.. aloooh ilikuwa aibu. Kamwambia akomae na alowapigia na gari mpya karudi nalo.
Oya dada mnaouza sijui nguo sijui vipodozi na viatu punguzeni leo mwenzeni kimemkuta huku nadhani amejifunza kubaki na jamaa mmoja.
Sijui hata birthday yake itaendaje huko aliko
Hii script mmeichambua kwenye makavazi ya Jully Tax? Maana hii ni kama muendelezo wa Saladini, kwa kifupi ni pure Bongo movieNimei copy X

Hasira za kuachwa hizo 😂Jana usiku nimetoka kumpiga chini wifi yako, sasa hivi anajiliaza huko
Sasa nitaanza kuja na moto mkali zaidi kuwahusu wanawake kuondoa ujinga mlio nao vichwani
Papaapaaa mimi ni mwambaaa.Kweli kabisa haujakosea, jipige kifua sema "mimi ni mwamba".
Safi.Papaapaaa mimi ni mwambaaa.
😂 mbona mimi ulinijibuMtu akiwa anaandika hivyo atanisamehe siwezi jibu sms yake hata moja.
Ebu andika tena hapa nione😂 mbona mimi ulinijibu
We falla kumbe unawajua viwango vyao wote😂Aaah! Acheni kutuchota. Yaani kati ya wapenzi wako usijue kabisaaa ni yupi anaweza kutoa zawadi hizo!!!!!
Chai ina pilipili.
You are talking from your own experience au sio mama la mama!Aaah! Acheni kutuchota. Yaani kati ya wapenzi wako usijue kabisaaa ni yupi anaweza kutoa zawadi hizo!!!!!
Chai ina pilipili.
🤣🤣🤣🤣 kwa experiences za Evelyn SaltYou are talking from your own experience au sio mama la mama!