Dada zangu hebu wekeni magari yenu katika unadhifu....!

Dada zangu hebu wekeni magari yenu katika unadhifu....!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
black-woman-driving-car-300-88749414.jpg


ptg01631731.jpg


Siku hizi dada zetu wengi wanamiliki magari. Ujio wa mabenki na utolewaji wa mikopo imewafanya dada zetu wengi kumiliki magari na hivyo kuondokana na usumbufu wa kuparamia daladala.

Lakini kuna tatizo moja ambalo nimeligundua kwa baadhi ya dada zetu wanaomiliki magari, usije ukaona Mdada ameshuka ndani ya gari lake amependeza ukadhani na gari lake ni nadhifu, utakuwa unajidanganya, hebu lisogelee kisha uchungulie ndani utashangaa.

Yaani utakuta gari hilo limegeuka kama nyumba:

Humo humo utakuta kuna containers za kubebea vyakula, na huenda ukakutana na left overs a.k.a kiporo ambacho kinasubiri kupashwa moto kwenye microwave ya ofisini.

Humo humo utakuta Wardrobe yaani ndani ya gari utakutana na pair kadhaa za viatu, mikoba, pair kadhaa za mawani, make ups, mateitei, Magagulo, shumizi na vikorokoro vingine.....

Mimi huwa najiuliza kama hiyo ni nyumba au ni gari.

Msije mkanitia vidole vya macho, naomba mjirekebishe.........

Hahahahaaaa..... Kwanza shikamoo Mzee Mtambuzi, hebu utuwache tupumuwe!!

Kwanza umesahau kanga/kitenge, mtandio, pichu, lotion, mapouda,pampazi, wallet, mikanda(belt) sandals, high hills, mkoba mkubwa maalum kama kadressing table kadogo n.k. Yaan kiufupi vitu vyote vilivyoko chumbani kwangu lazima viwepo kwenye gari.... Je nikipata safari ya ghafla ndo nikimbizane na foleni kwenye kujiandaa home khaaaaaaa!!!!!!

Copy to: Lisa, Nivea, BADILI TABIA, Paloma, Preta, KOKUTONA, miss wa kinyaru, sister, Elizabeth Dominic, charminglady, Asnam, Smile, Asprin, Eiyer, jouneGwalu, The Boss, HorsePower
 
Hahahahaaaa..... Kwanza shikamoo Mzee Mtambuzi, hebu utuwache tupumuwe!!

Kwanza umesahau kanga/kitenge, mtandio, pichu, lotion, mapouda,pampazi, wallet, mikanda(belt) sandals, high hills, mkoba mkubwa maalum kama kadressing table kadogo n.k. Yaan kiufupi vitu vyote vilivyoko chumbani kwangu lazima viwepo kwenye gari.... Je nikipata safari ya ghafla ndo nikimbizane na foleni kwenye kujiandaa home khaaaaaaa!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
"Humo humo utakuta Wardrobe yaani ndani ya gari utakutana na pair kadhaa za viatu, mikoba, pair kadhaa za mawani, make ups, mateitei, Magagulo, shumizi na vikorokoro vingine....."

Hahahahaahahaaaaa!!!!! Mtambuzi sasa unatafuta ugomvi na sisi , maana hapo kwenye red umenifanya nicheke sana Loh! kwa hilo mimi nabisha, kuweka viatu ni kweli tena vinakuwa ni sandozi kwa ajili ya kuendeshea au unakuwa umechoka kuvaa kokoko so unabadilisha kwa urahisi.
 
Hahahahaaaa..... Kwanza shikamoo Mzee Mtambuzi, hebu utuwache tupumuwe!!

Kwanza umesahau kanga/kitenge, mtandio, pichu, lotion, mapouda,pampazi, wallet, mikanda(belt) sandals, high hills, mkoba mkubwa maalum kama kadressing table kadogo n.k. Yaan kiufupi vitu vyote vilivyoko chumbani kwangu lazima viwepo kwenye gari.... Je nikipata safari ya ghafla ndo nikimbizane na foleni kwenye kujiandaa home khaaaaaaa!!!!!!
stock-photo-women-distracted-and-laughing-in-car-with-cellphone-and-cosmetics-53471947.jpg
 
Ukweli mtupu....si kawaida
kabisa kukuta gari la mdada hata jeki hakuna lakini kuna kila aina ya
kipodozi...

Halafu ujue jeki sio muhimu kiasi hicho kwetu!!
Ukipata tatizo uka pack pembeni dakika tu unazungukwa kabla hata hujafungua buti,kama nabeba jeki siitumii si bora nibebe make up sets na viatu tu!
 
Hahaha mshua toka siku ile unisute, huko nyuma kuna mabox 2 ya reams. Moja lina documents, novel, Bible and the like. Box lingine lina viatu, high heels, ndala, raba za gym, and the like. high heels na sandals huwa zinaingizwa home j1 na naanza uploading upya j3 asubuhi. Bahati yangu sitembei na viporo na dressing table..

Ila seriously hali ilikuwa mbaya sana hahaha.
 
Ukweli mtupu....si kawaida kabisa kukuta gari la mdada hata jeki hakuna lakini kuna kila aina ya kipodozi...

Kuna dada mmoja aligoma gari lake kufanyiwa upekuzi kwenye maeneo fulani ya usalama sio vzuri kutaja, ikabidi nguvu itumike basi kukagua wakakuta kila aina ya vipodozi mpaka hair draier alipoulizwa, kwa aibu alisema hi ni mobile saloon kwahyo nina appointment na bosi wenu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom