Blaine
JF-Expert Member
- Jan 11, 2012
- 2,259
- 1,657
ngoja niwatetee.Ukweli mtupu....si kawaida kabisa kukuta gari la mdada hata jeki hakuna lakini kuna kila aina ya kipodozi...
jeki/spana etc zinakuwa kwenye buti ila hawajui kuzitumia 🙂
ngoja niwatetee.Ukweli mtupu....si kawaida kabisa kukuta gari la mdada hata jeki hakuna lakini kuna kila aina ya kipodozi...
. Umeona eeh! Walahi atuache tena sii kidogo. Bora umemwelewesha lakini; maana nilipoanza tu kumsoma nikawazia kale ka Vitz kangu kalivyosheheni "vitu muhimu":wink2:Hahahahaaaa..... Kwanza shikamoo Mzee Mtambuzi, hebu utuwache tupumuwe!!
Kwanza umesahau kanga/kitenge, mtandio, pichu, lotion, mapouda,pampazi, wallet, mikanda(belt) sandals, high hills, mkoba mkubwa maalum kama kadressing table kadogo n.k. Yaan kiufupi vitu vyote vilivyoko chumbani kwangu lazima viwepo kwenye gari.... Je nikipata safari ya ghafla ndo nikimbizane na foleni kwenye kujiandaa home khaaaaaaa!!!!!!
vya nini vyote hivyo. au ndio mnatoka nyumbani mikvaa 'kilokole' na mkifika njiani mnabadilisha na kuvaa 'kimtoko' 🙂Hahaha mshua toka siku ile unisute, huko nyuma kuna mabox 2 ya reams. Moja lina documents, novel, Bible and the like. Box lingine lina viatu, high heels, ndala, raba za gym, and the like. high heels na sandals huwa zinaingizwa home j1 na naanza uploading upya j3 asubuhi. Bahati yangu sitembei na viporo na dressing table..
Ila seriously hali ilikuwa mbaya sana hahaha.
Kuna dada mmoja aligoma gari lake kufanyiwa upekuzi kwenye maeneo fulani ya usalama sio vzuri kutaja, ikabidi nguvu itumike basi kukagua wakakuta kila aina ya vipodozi mpaka hair draier alipoulizwa, kwa aibu alisema hi ni mobile saloon kwahyo nina appointment na bosi wenu..
![]()
![]()
Siku hizi dada zetu wengi wanamiliki magari. Ujio wa mabenki na utolewaji wa mikopo imewafanya dada zetu wengi kumiliki magari na hivyo kuondokana na usumbufu wa kuparamia daladala.
Lakini kuna tatizo moja ambalo nimeligundua kwa baadhi ya dada zetu wanaomiliki magari, usije ukaona Mdada ameshuka ndani ya gari lake amependeza ukadhani na gari lake ni nadhifu, utakuwa unajidanganya, hebu lisogelee kisha uchungulie ndani utashangaa.
Yaani utakuta gari hilo limegeuka kama nyumba:
Humo humo utakuta kuna containers za kubebea vyakula, na huenda ukakutana na left overs a.k.a kiporo ambacho kinasubiri kupashwa moto kwenye microwave ya ofisini.
Humo humo utakuta Wardrobe yaani ndani ya gari utakutana na pair kadhaa za viatu, mikoba, pair kadhaa za mawani, make ups, mateitei, Magagulo, shumizi na vikorokoro vingine.....
Mimi huwa najiuliza kama hiyo ni nyumba au ni gari.
Msije mkanitia vidole vya macho, naomba mjirekebishe.........
Copy to: Lisa, Nivea, BADILI TABIA, Paloma, Preta, KOKUTONA, miss wa kinyaru, sister, Elizabeth Dominic, charminglady, Asnam, Smile, Asprin, Eiyer, jouneGwalu, The Boss, HorsePower
Hahahahaaaa..... Kwanza shikamoo Mzee Mtambuzi, hebu utuwache tupumuwe!!
Kwanza umesahau kanga/kitenge, mtandio, pichu, lotion, mapouda,pampazi, wallet, mikanda(belt) sandals, high hills, mkoba mkubwa maalum kama kadressing table kadogo n.k. Yaan kiufupi vitu vyote vilivyoko chumbani kwangu lazima viwepo kwenye gari.... Je nikipata safari ya ghafla ndo nikimbizane na foleni kwenye
kujiandaa home khaaaaaaa!!!!!!

Halafu ujue jeki sio muhimu kiasi hicho kwetu!!
Ukipata tatizo uka pack pembeni dakika tu unazungukwa kabla hata hujafungua buti,kama nabeba jeki siitumii si bora nibebe make up sets na viatu tu!
Kuna mkaka wa ofcn tulisafiri nae siku moja aisee ilikuwa surprise ya mwaka. Manake kufungua buti ya gari, ana pasi, soap dish na cattle jug. Usiulizie pichu na nguo zote chafu, mpira wa basket, raba na viatu. Afu ni mkaka wa kujipenda na anaongelea designer bag la laptop, designer perfumes etc
nasikiaga machungu sana kumuana mwanadada akiendesha gari huku mimi napuyanga kwa mguu na jua la saa saba mchana..
ngoja niwatetee.
jeki/spana etc zinakuwa kwenye buti ila hawajui kuzitumia 🙂
Leo naihesabu siku moja ya ajabu sana kwangu
Sijui wadada wamekuwaje leo!
Au mapema?
Yaani wamekubali kirahisi namna hii kuwa ni kweli..........!!!!!!!!!
Ngoja niendelee kutoa mimacho huenda nikaiona ile tabia ya kike ya.......Mbona wanaume nao wanaweka sigara kwenye gari.....!!!!!!!!