Dada zangu fanyeni mazoezi ya Tumbo na kujenga Confidance. Fassion haziendani na TUMBO kubwa

Wanakuwa Na Mwili Kama Funza Tumbo Halieleweki Kiunoni Hakijulikani Kipo Wapi.

Wakivaa Hizo Nguo Inakuwa Kama Gunia La Mkaa Limevungwa.
 
Wanawake wengi pia wana fibroids kwa kujua au kutokujua. Hii inachangia pia matumbo yao kuwa makubwa.
 
Gakuna mwanaumr anapenda mwanamke mwwnye kitambi ndo maanabwaume wenu wanawasaliti mnaishia kulalamika tu
 
Kama juzi kwenye matamasha yao mtu hajulikani tumbo na kiwili wili viko wapi
 
Back
Top Bottom