Dada zangu embu nipeni ukweli wa hili! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dada zangu embu nipeni ukweli wa hili!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Slave, Sep 29, 2012.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kumsikia dada mmoja akieleza tabia za mwanaume anaempenda kwamba anampenda mwanaume mpole,mcheshi na asie na makuu aliendelea kusema kuwa mwanaume wa namna hiyo hata anapokuwa nae katika matembezi ya kawaida hujisikia raha sana kwakuwa watu humpongeza kwa uchaguzi wake wa kuchagua mwanaume mpole na asie penda makuu. Lakini leo tena nimemsikia mwanamke mwingine akiponda tabia za wanaume wa pole yeye aliwataja kwa jina la wa nyonge na kusifia wanaume wapiga vyuma,wagomvi,na wasiopitwa na ugomvi ;namnukuu eti mtu unakuwa na mwanaume kama yule mwanaume hata mkivamiwa ndani na majambazi yeye ndo wa kwanza kujificha uvunguni wa nini sasa mtu kama huyo! Bora lile pande la mtu yaani hata mitaani watu wanajua kweli furani kaolewa. Swali je wewe unapenda mwenye tabia zipi? Na kwani upende tabia hizo?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  asha kupenda biriani haimshurutishi Kidawa kuchukia pilau, na wala haimzuii havintishi kupenda wali wa nazi.

  Wanawake si kama mapera wafanane hadi mlalo wa mbegu zake.
   
 3. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Moyo wako ukijikuta umedondoka kwa mtu fulani hayo yote hutoyazingatia.
   
 4. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Mtu kama mimi naweza nikawa mpole na pia nikawa mgomvi sasa sijui nimewekwa kundi gani!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mi napenda huyo wa aina ya pili....akinikata mtama.....na mimi namshukia na kichwa.....ngoma inakuwa droo.....mwanaume mpole nitamzaba makofi......
   
 6. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  me napenda mwanaume bandidu, ukienda ndivyo sivyo anakukoromea. sio kila kitu ndio lolest!
   
 7. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  duh! Umenikumbusha musoma-tarime.
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  unaona sasa....kumbe na wewe unapenda eeeh.....
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ndo vile venye iko.....
   
 10. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nyie tuchagueni tu hamjui hizo ni tabia za nje tu (watu wanavaaga ngozi za kondoo)...kugombana si mpaka uchokozwe bana...nani kasema mwanamume mpole hapigani?..mchukulie demu wake ndio ujue nguvu zake...By the way Preta naomba nikuwe mpenzi wako??...mimi ndiye yule Francis Cheka Bingwa wa UBO,WBA na WBF..umekubali eeh??..hapa ngumi jiwe!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Fransis bingwa wa nini?
  Angalia spelling mazee

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kongosho bana..yaani umeona hapo tu?
  Fanya UBO basi ondoa O ya mwisho...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  women look for security...sasa mwanawane huna shida ya kubeba mavyuma au kifua cha kutisha mtu. wewe pata mkwanja...that will provide all the security she needs. ata hao majambazi hawataingia ndani ya nyumba
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,510
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  Kujisimamia kama mwanaume ni tofauti na upole. Nani kasema upole ni ujinga? Mwanaume anapaswa kutoshobokea maugomvi yasiyo na maana. Ila siku akipandisha sauti inapaswa kushtua watu. Sio ati ugomvi hata wa kusutana anaendekeza. Mwanaume anapaswa kuwa kimya ila uanaume wake ukidhalilishwa ama memsahib akidhalilishwa ndo aingilie kati.
   
 15. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nimepita tu....kumbe wameulizwa kina dada....nipo nipo naendelea kuwasoma ili nijuwe kama wa aina yangu namaindiwa au sina changu!
   
 16. DSpecial

  DSpecial JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nadhani hata Mungu alikuwa na maana yake alipoumba wapole na wasio wapole
   
 17. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Mimi kwanza kabisa na tabia chafu sana ya kumchoka na kumkinai mtu!!!! Hivo basi mi wanaume watoto wa mjini wananimaliza sanaaa! Haswaa wale ambao wanbreak all the rules! LOLEST! The unpredictable Ones! Ila ukiacha tabia MVUTO nao muhimu atiii! Sipendi tabia una do na John afu kichwani unavuta STIMU kwa kumuwaza Side boy!!!! HAHAHAAAAA! (haipendezi!!!!)
   
 18. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ... Umetisha!!
   
 19. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #19
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  dahhhh
  mi nampenda mwenye tabia zote mbili :A S shade:
   
 20. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,320
  Trophy Points: 280
  Kumbe lugha yetu adhimu bado ingali hai...........mashallah Kongosho
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...