Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
- Thread starter
- #41
Linapokuja swala la kupenda hivyo vigezo vyao huwa vinapotea na anajikuta amedondoka popote bila kutegemea! Na kila mwanamke najua ana vigezo vyake!
pamoja na kudondokea hapo kumbe anaweza akadondoke sehemu ambayo hakuitaka,siku mbili tatu unaanza kusikia kelele ndani ya nyumba.