DADA YENU MAPENZI YAMENIKABA KOO

Thank you so much madam S... it really hurts to move on kwa kweli...ila natumai ntaweza!
 
Tatizo kwenu ndo lipo hapo dada yangu... MWANAMKE AKISOMA SANA ANAJIPUNGUZIA ASILIMIA ZA KUOLEWA. Na hizo unazosema "nina misimamo yangu" , "msimamo wangu ukawa ni uleule" ni ngumu kumletea mwanaume misimamo yako na ukategemea atakuoa.
Pia hata hilo suala la sex, ushakuwa mtu mzima hivyo unakazi bado unabana sex, mtu atakuoaje hata hajui ufundi wako kitandani. Dada ndoa ni agano la milele, hatuwezi kwenda tu ndoani kwa mambo ya kusadikika hiyo kitu haina reverse dada.
Angalia we mwenyewe umeshajiweka ktk daraja la juu na zaidi hauko romantiki, hujui maana ya mapenzi, hujui haiba za kike. Kuna vitu vinakosekana kwako hasa kuwa romantic hilo linakugharimu sana
 
trust me hii haikua sababu ya mm kuanza nae mahusinao..kwanza wakati nipo nae alikua ametoka training kachoka...kama hela anazo sasa hvi

thank you Dabby for passing by...how i wish nijitaje jaman![emoji3][emoji13]
 
Njoo huku sasa mumeo niko hapa..!
 
trust me hii haikua sababu ya mm kuanza nae mahusinao..kwanza wakati nipo nae alikua ametoka training kachoka...kama hela anazo sasa hvi

thank you Dabby for passing by...how i wish nijitaje jaman![emoji3][emoji13]
Hii lugha ya Nina misimamo yangu, Nina kazi nzuri, ni bikra na bra bra of this kind siyo test most men wanahitaji toka kwa Mwanamke wa kuoa....na Kwa taarifa yako, suala la bikra Kwa mazingira ya Vijana wa sasa siyo kinga wala deal kwao. Pili juu ya wanaume walioenda age siyo guarantee hata kidogo na don't play hiyo game.....omba Mungu, kuwa mnyenyekevu na hekima katika mahusiano yako, kuanzia huko kwenye kanisa, temple, msikiti au ministry yako. Kinachompa credit Mwanamke we call wife materials ni tabia yake, mwenendo wake, mahusiano yake na wengine (jamii yake, wafanyakazi wenzake, washirika wake etc).
Maisha yako ni kielelezo tosha cha namna gani utaishi katika ndoa/nyumba.
Ninayo mifano kibao Sana.....ikikupendeza Sana ni text inbox kwa live conversation.
Kila la kheri.
 
Khaaaa
 
unatuzingua tu apa, Mara mwanzo wakati ananitongoza alinambia wazi, badae mawasiliano hafifu sababu ya umbali, Ila updates zake Zote unazooo, oooh Simpendi tena Mara naumiaaa.. Yaan hujui unachotaka ni nini?
 
Aaaa we baki iv iv if you think wanaum n watu wabay but time will tell you
 
26 ndo unalialia hivi, je ukifika 30 si utarukwa akili!

Hebu tuliza akili yako kila jambo na wakati wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…