DADA YENU MAPENZI YAMENIKABA KOO

Endelea kubans tu,, wenzio wanaachia wanakwea kilimanjaro,, we pamoja na kujibana mbinguni huendi
 
Sababu kubwa wanajua mapenzi, wametulia na kukua kiakili kimwili na kiroho na hawasumbui ka vijana, na wanajua wanacho kitaka. So ku date nao raha sana haya ya uchumi kila mtu hujishugulisha
Tehteh... Kujuaje mapenzi?

Hii ni formula ambayo ipo...Unakuta mnapotafuta wenza wa kutulia nao mnawataka hao ila mkishatulia nao mkaoana mambo yanabadilika...

Mnarudi mdogo mdogo kwa vijana wenzenu mliowaona hawajatulia... inakuaje hapa?
 
Afu hawaelewi pesa ni mwanzoni tu , ukishaanza kupendana wala huwez kumchuna ila unampenda yeye kama yeye.....na kama akikuchukulia poa kisa pesa zake unaliacha tu
Mahusiano ni zaidi ya pesa
Kuweza kuwa na mawazo kama yako inahitajika hekima na busara kma ya Suleimani
 
Dada usife moyo mwanamme wako utampata Mungu ni mwema.
 
Nilikutana na dada mmoja dini tofauti akatoa sharti la ajabu kama ulivyotoa wewe eti nibadili dini nikamwambia dini isitufanye sisi tusipendane lengo la kila dini ni kwenda kwa Mungu, kuhusu kutoa mbunye yaani hapo hakuna mwanaume mwenye akili utayemchezesha biko ukakubali punguza vigezo mamaaa ikiwezekana njoo kwangu tutest mitambo!!!
 
Tehteh... Kujuaje mapenzi?

Hii ni formula ambayo ipo...Unakuta mnapotafuta wenza wa kutulia nao mnawataka hao ila mkishatulia nao mkaoana mambo yanabadilika...

Mnarudi mdogo mdogo kwa vijana wenzenu mliowaona hawajatulia... inakuaje hapa?
Hahahaha
Ningekua mgeni wa mahusiano kama mtoa mada probably nngechukua ushauri wako ......uzur au ubaya zaid nina uzoefu / nauelewa mzuri tu na kitu ninachokiongea wala sibahatish kaka
 
Good to you.
 
Mi siwezi kurudi kwa kijana nikipata mtu mzima natulia ka maji mtungini maana ka nikuruka sharuka na kila size na sioni jipya kabisa.
Tehteh... Kujuaje mapenzi?

Hii ni formula ambayo ipo...Unakuta mnapotafuta wenza wa kutulia nao mnawataka hao ila mkishatulia nao mkaoana mambo yanabadilika...

Mnarudi mdogo mdogo kwa vijana wenzenu mliowaona hawajatulia... inakuaje hapa?
 
Mi siwezi kurudi kwa kijana nikipata mtu mzima natulia ka maji mtungini maana ka nikuruka sharuka na kila size na sioni jipya kabisa.
Hongera...ila wanarudi wengi mnawapa wazee wetu wakati mgumu huko uzeeni.
 
Hata hatuwapi tabu ujue wengine tukioendwa na kujali nasi tu napenda kweli nakutulia hapo si cheat kabisa natulia. Nikiwa na kijana akili sawa tuta shindana tu uhuni bure

Mwanaume wa kukuoa wewe hayupo hata ukiolewa uwe unamwita mme wetu au ukiolewa mmeo awe anakuita mke wetu hayo ndo maisha halisi...
 
Hata hatuwapi tabu ujue wengine tukioendwa na kujali nasi tu napenda kweli nakutulia hapo si cheat kabisa natulia. Nikiwa na kijana akili sawa tuta shindana tu uhuni bure

Tehtehteh...
 
Nashkuru mwayaa kwa kunipa moyoo
 
sawa kaka yangu nmekuskia,nashkuruuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…