DADA YENU MAPENZI YAMENIKABA KOO

Nakushauri na wewe Yakabe korodoni
 
acha ujinga wewe toa nyapu hiyo watu watafune kwanza wajue radha yake ndo mambo mengine yafuate.

Mtu mwenyewe unaonekana unapenda wanaume wenye mionekano ya kimalaya hlf kuwapa nyapu hutaki,good boy hutaki kwanza hawakuvutii sasa utapata wapi mwanaume malaya ambaye utamuuzia ng'ombe kwenye gunia???????????

Hiyo bikra ilikuwa na thamani miaka ya 47 huko,nenda na wakati wewe kwanza Ni Pm nikwambie kitu
 
Shikilia nganganga, ukiachia tu utajuta mara dufu.
Huenda ni muda mchache tu umebaki ili neema ikushukie ila shetani ndo anazidi kuleta figisufigisu uingie chamboni.
Muombe sana Mwenyezi Mungu kwa imani yako inavyokuelekeza. Mwenzio nipo kwenye maombi makali sana kwa sasa. Haya mambo hayataki haraka.
 
Yaani wewe pekee ndio umeelewa shida ya mtoa mada
 
Hao wanaume uliokuanao wote vilaza,
Miezi 8 kwenye mahusiano wameshindwa kukukula?

Aisee mimi ukipita miezi 3 bila kuliwa ukatambike.

Ladha ya huu uzi umeuharibu kwa kuja na id mpya, kwanini unajificha? Mi nimehisi wapo vidume huku jf washakutafuna ndio maana unajificha.
 
Wanawake hivi ni kweli huwa mnaamini kwenye akili zenu wanaume waliowazidi umri hasa mkubwa ndiyo wazuri kwa mapenzi kwasababu wametulia au ni sababu za kiuchumi?
Yaani sijui tukwambieje mdogo wetu. Ni kwamba siwezi kueleza hata wewe huwezi kuelewa
 
Dada shikilia msimamo wako huo huo me nilisomaga ma ushauri ya huku ooh unabania bania nn kiliwe na nyerere hatimaye nkaachie wakt namaliza chuo mwaka wa tatu

Ila me nashukuru wa kuoa wanajitokeza wengii tu na hao wakuoa ndo ata hawajanionja
 
Nataka nimjue mleta mada maana kasema yeye ni muhenga humu.

Akijichanganya na ID yake ya siku zote akiwa anasoma comments nitamjua tu
Ha ha ha ha nasubr nnaemuhs acoment akipita tu hapa namfata pm
 
Sorry are you a virgin?Maana isijekuwa unaweka masharti mengi ya hivyo kumbe watu washatoboa.Utamkera muoaji.Kwa masharti hayo aliyekutoboa akuoe.
 
Hujasoma uzi kama ungesoma hili swali usingeuliza na kama umesoma na bado ukauliza swali kama hili basi utakuwa kilaza sana..
Sorry are you a virgin?Maana isijekuwa unaweka masharti mengi ya hivyo kumbe watu washatoboa.Utamkera muoaji.Kwa masharti hayo aliyekutoboa akuoe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…