DADA YENU MAPENZI YAMENIKABA KOO

Umezunguuka sana ukiwa mhalisia unasema tu kwenye mazingila yangu nimekosa natafuta mume humu ingetosha tu

Wake wacha mungu wanavyo tafuttwa myezi mitatu usingemaliza me akisha hakiki kweli unamuogopa Mungu.
 
Wanawake hivi ni kweli huwa mnaamini kwenye akili zenu wanaume waliowazidi umri hasa mkubwa ndiyo wazuri kwa mapenzi kwasababu wametulia au ni sababu za kiuchumi?
Kwa hiyo umeamini kabsaaa mleta uzi ni mcha Mungu na ana bikra?

Habali ya masiku mingi
 

Mi nina mambo mengi sana ya kukushauri lakini nitaomba nikushauri PM kama hutajali. Kama utakuwa tayari tafadhali utanijuza
 
Huyo Unayemkatalia kuna mahali Kapiga mzigo hadi kachoka, mapenzi bana unaminyaminya nyanya unapata bilinganya
 
Ni sababu kubwa tuu, vijana hapo hata hamjazoeana vizur malalamiko kibao eti mbona hupigi simu kila siku mpaka nikuanze khaaaaa inshort ni kero tupu
@Dadahuyu utakuwa wewe[emoji46]
Nakuja PM maana wewe ni 'zahabu'
 
Huyo Unayemkatalia kuna mahali Kapiga mzigo hadi kachoka, mapenzi bana unaminyaminya nyanya unapata bilinganya
Duuh hivi kumbe ndio alimaanisha hivi ujue kila siku nautafakari haya maneno sijawahi kuelewa
 
Duuuu unaumizwa nin SAS wengine mnatunga story, mim Nina maswali mengi jeee huyo ulimpa tunda au uligoma mpk mwisho, pili unafanya Kazi Gan?, Tatu wew ni Dini Gan? Na unataka nin kwenye mahusiano si usiache Mungu akufanyie supliz,
Hiyo dhambi ya ngono kila mtu lazima aipitie unaweza kuoa lingine halijui mambo, unajua uchungu wa Talaka wew,
 
Madam s
Are you a madam real or beautiful single,
I like it your comment my Dear, tell me the truth
 
Duuuu thanks, Kuna Guys wanapata bahati ya kuwa na mwanamke mwenye uelewa mpna huwa nafatilia comments zako Basi tuu unavyojieleza na kumshauri mtu mim nishapenda tuu kwa Hilo ingawa sikufaham, congdurate for him
oh najikuta nakosa cha kusema

Asante mno, nimefrah kuona nimeweza kufanya mtu akapata relief ya moyo kupitia maandiko yangu kwangu naona kama sadaqa nimefanya

Ahaha asante kwa niaba yake nitafikisha salam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…