Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

Watulie, waache kujichukulia like wanamiliki mgodi.
Rafiki zangu watatu wameolewa siku za karibuni na wana makalio Kama yote. Sio kila mwanamke anaabudu tako kisa tu analo. MTU kazaliwa hivyo. Na nyie wanaume mmeanza kuwaona wanawake wenye matako Kama threat kwenu. Kitu kidogo tu mnakimbilia sababu Ana tako. Hukumuni wasioolewa kwa mengine Kama tabia ambayo inachange ila sio maumbilie yao waliyozaliwa nayo.
 
akika umenena vyema mwenye kusikia na asikie sema wanawake mwalimu wetu kipofu yan asilimia kubwa wanawake ndo tunakumbwa na hayo majanga sijui single maza mara kutoolewa hebu tujitafakarin upya
 
MANENO yako yana buibui walahi Maana unatuletea zilipendwa!
Uchafu mtupu umeandika walahi!
Kwani kuolewa ni lazima, pathetic DNA walahi
Povu mbona wengi wameelewa ila ww tu jitafakari
 
Samtymz unawaza sawasawa kabisa.
 
Dah!kuna maza hapa nakaa naye yan yuko psychologically tortured kwa sababu naoana yy hajaolewa ila kaoa sasa wanaume wa dar mnaelewa kinachoendelea mama kiumri n mkubwa mmewake bado kijana namsalimie mke mme simsalimii
 
Waache eti wanashindana nasi..!

Mwanamke kushindana na mwanaume sawa ni mpapai kushindana na mwembe kuzaa matunda, na kudumu muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…