Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

Analyse

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
17,641
Reaction score
47,664
Tupo kwenye mwendokasi tunatoka magomeni kuelekea k/koo gerezani. Pembeni yangu kuna dada anajitahidi kuongea kwa sauti ya chini na utulivu, ilhali kwa muonekano wake hayupo katika utulivu:

"Calvin am too old to be dumped, kwanini unanifanyia hivi? "


Kimoyo moyo nkajisemea, Calvin ashamtema dada wa watu.

Hapo hapo nikajikuta namkumbuka yule dada wa salun ya kike pale sinza, ambaye alipigiwa simu na bwana wake hakupokea, alafu akawaambia wenzake " Mpaka apige mara 5 ndio napokea, na nikipokea najua lazima aombe msamaha"

Kwenye mapenzi ukishikwa, kazi unayo.

Ila kwa mtazamo wangu, dada zangu they have a lot to loose when it comes to love than sisi wanaume. Huwa nawaangalia tu girls in their 20's wanavyovimba mitaani na kwenye mwendokasi. Anaweza akakusonya kwa kosa la kumwangalia tu.

Now days the big the ass, the dumb they become. They think having that stuff kills off everything. Kila picha anayopost, analenga chini ya kiuno. Like na comments za kutosha within few minutes.

Ujue girls kuna kitu hadi leo hamjui kutofautisha, either kwa makusudi or kwa kutotilia umakini. " WANAWAKE WANAOTREND KWENYE HARUSI THEY ARE QUITE DIFFERENT FROM THOSE TRENDING IN SOCIAL MEDIAS"

Unajua kwanini?? Ushawahi kuona vogue au any luxury cars shambani? Hayo magari ni kwa ajili ya kujistarehesha tu, ukifika muda kazi, muda wa kuingia shambani linahitajika trekta. Hicho ndio kipindi ambacho statements kama za yule dada wa kwenye mwendokasi zinapokuja : "Too old to be dumped"

Wanawake wanaotrend kwenye harusi ni wakawaida tu, sio wa kujichubua, no big ass. Normal shape but attractive.

So dada angu rukaruka ila jua umri unasonga, usipojitambua mapema utaishia kupokea kadi za kichango tu au kuombwa uwe maid kwenye harusi ya best ako.

Au la, mtaenda kujazana kwenye makanisa ya kiroho kuombewa au Bagamoyo kwa babu.

MSISEME HAMKUAMBIWA.


Analyse
 
ngoja tuwasubiri ila kuna wengine watabisha tu
 
Maisha ni kuchagua sio lazima wote waolewe... Na michepuko tutaipata wapi? Utaoaje mdada mzuri wengine tupige wapi? Imagine mtu angemuoa Sepetu Wema akiwa kwenye pick yake wadau kina Idrissa, Diamond and the like wangekula wapi? Hebu waacheni warembo wetu
 
Back
Top Bottom