Teh teh atatuambia yeye ni spefic partner na wanafanya kwa maslahi ya pande zote mbili; kwa boss ambaye mkewe halipi sasa ana kitu roho inapenda na kwa dada ambaye shemegi hana mshiko hivo boss anasawazisha gap! Mtakufa mpaka mwishe na tamaa zenu! Hivi akijikuta kashajipaka upu[pu na kumpaka mtoto wa watu bwana shemeji atajisikiaje?
Naanzisha kampeni ya kuwanyonga watu wa aina hii!
huyu dada yangu? Yuko njia panda ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila boss anawawezesha
Tena unablackmail wote bosi na dada........ha ha ha Ujasiriamali muhimu mkuu!Mwambie dadakoaendelee ru.....then unam-blackmail baadae.....atakuwa anakupa hela milele. Unakuwa kama sio mjasiriamali.
Mjini hapa! Mi hapo nshaona pesa wewe unaona nini? Biashara hiyo.....changamka.
Mwambie dadakoaendelee ru.....then unam-blackmail baadae.....atakuwa anakupa hela milele. Unakuwa kama sio mjasiriamali.
Mjini hapa! Mi hapo nshaona pesa wewe unaona nini? Biashara hiyo.....changamka.
afrika hasa dhiki .......mtu gari ndo kaona dili amvulie bossi nguo! tena hapo gari yenyewe second hand choka mbaya, spana mkononi usikute! agggrrr
mantality za kutoridhika na ulichonacho hasa mbaya.
Mwambie dadakoaendelee ru.....then unam-blackmail baadae.....atakuwa anakupa hela milele. Unakuwa kama sio mjasiriamali.
Mjini hapa! Mi hapo nshaona pesa wewe unaona nini? Biashara hiyo.....changamka.
Niko naye hapa. Taratibu kiongozi!Bht umefika mama? Mbona naona kuna binti ananitolea macho sans hapa?
Ni jana tu kanisimulia alianza kwa kumpa safari za kila mara, akamuongezea bonus zake, short cause kwake hazikauki dada akawa haelewi kuna nini. Mwisho wa yote akamtamkia live na akamwambia anampenda na wala acwe na haraka yakujibu aende akafikiri akiwa tayari atamuambia jana akanunuliwa gari na amekabidhiwa ufunguo na kadi yake, dada yangu ameolewa na ana familia nzuri ya watoto 2 na mume wake anafanya kazi ya kwaida tu ya kuajiliwa ktk kampuni binafsi, ila kwa muda mfupi maisha yamependeza. wana JF nisaidie nimshauri vp? huyu dada yangu? yuko njia panda ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila boss anawawezesha
are you crazy shit or what????????
Dada yako yuko njia panda???? Hafai hata kuwa kwenye hiyo ndoa. Anafahamu maana ya ndoa? Na kama anampenda mume na familia yake huko nje anatafuta nini???
Im sorry but i think ana element za uma***ya..... Huwezi kumpenda mumeo na ukamwachia mwanaume mwingine aukuchambue kama karanga..... Na hasira ya mungu isije waka juu yake kwa kuisaliti ndoa.... Hayo magari ni bullshit!!!!
Au gari ndio lamaana kuliko ndoa yake????? Vinakujaga na ukimwi hivyo au hajui??? Mwambie anatakapo lala na huyo mwanaume akapime. Believe me or not..... Gari haliji hivi hivi mtuwangu...
hapo nimekusoma sasa kwamba dada atulie!! maana ulivyosema gari "limechoka" kwaq hiyo akipewa jipya ndo avua ch**pi?kimey .....pesa ya mboga! ...hamna kitu .....dada kachemka vibaya. aache mara moja na atubie kwa mungu wake.
Punguza ukali wa maneno kuna watoto wanapita humu mkuu!This is what I'm talkin about....keeping it one hundred. Ni dalili za umalaya kutombwa kisa material things.....
Msimkatishe tamaa bandugu. Hivi angaza si bado ipo? Aka do the needful pale aone kama hajaliyumbiwa. Manake: gari+ kumegana + liyumba = ????anataka ushauri wakati keshachukua ka gari ka watu! hehehehe, mwambie dada yako keshalikoroga ,sasa alitie spices, alinywe tu.hapa wanasayansi wanasema ni " too late to advise"
Punguza ukali wa maneno kuna watoto wanapita humu mkuu!
anataka ushauri wakati keshachukua ka gari ka watu! hehehehe, mwambie dada yako keshalikoroga ,sasa alitie spices, alinywe tu.hapa wanasayansi wanasema ni " too late to advise"