Dada yangu anataka tufunge ndoa

Dada yangu anataka tufunge ndoa

Muoe.

Ndio vizuri.

Pesa yenu haiendi mbali, inazunguka humo humo
 
sisi wasukuma binamu huwezi kumuoa hata kwa ng'ombe nyingi kiasi gani, utamweka wapi hiiiiiii kama unataka upigwe faini jaribu jambo hilo hutarudia kafanya
 
Kitaalmu haifai utazaa Watoto wadumavu na matizo ya akili ,
Hiyo haifai hata kwa wanyama usijaribu Kama kweli huyo mjomba ni kaka wa Damu wa mama yako .
Mama yako damu zinaingiliana? Mtoto wa shangazi unaoa coz sio damu yenu damu yenu ni shangazi tu mtoto wake ni damu nyingine hivyo hivyo mjomba sio damu yenu
 
Mama yako damu zinaingiliana? Mtoto wa shangazi unaoa coz sio damu yenu damu yenu ni shangazi tu mtoto wake ni damu nyingine hivyo hivyo mjomba sio damu yenu
Hivi ukishaoa, shangazi humuiti tena unamuita mamamkwe? Au unaunganisha shangazi mamamkwe?
Undugu unavunjwa?
 
Kujaamiiana kwa maharimu(incest) ni msingi wa kuwa na watoto wenye ulemavu hasa mtindio ubongo. Kuna baadhi ya jamii inaruhusiwa ila kisayansi hushauriwi kufanya hivyo
 
Hivi ukishaoa, shangazi humuiti tena unamuita mamamkwe? Au unaunganisha shangazi mamamkwe?
Undugu unavunjwa?
Huwezi vunja undugu na shangazi ukioa mtoto wake au mjomba jina utalomwita ni sawa but kuoa binamu ni sawa kwani mtoto wa shangazi yako au mjomba wako sio ndugu yako
 
Kama ww mwislam din inaruhusu wala haina shida mm mwenyewe yupo binam yangu natafuna mara mojamoja
We kafiri tu.
Uislamu hauruhusu kutafunana na dada zako . Pumbaff.
 
Mmh broo apo utakuwa ume boronga kwaiyo iyo ndio fadhila yako kwake
 
Piga mambo...maswala ya ubinamu ni zamani!
 
Inategemea na mila na desturi za kabila lenu
 
Back
Top Bottom