Dada yangu anataka tufunge ndoa

Dada yangu anataka tufunge ndoa

Ukweli ni kwamba ujinga wako sijauelewa dogo halafu uwe na fikra pevu kuwa wewe ndio inawezekana ukawa member kilaza wa jamiiforums kuliko member yeyote yule manake mimi nimekomea form 4 ila nina uwezo wa kutambua uwezo wa kufikiri wa mtu na makadirio ya elimu yake kiujumla ukweli unaongopa na unajidharirisha tu.
 
Labda ujipigie tu kama mwanaFA .....yaaani kinyama ya hamu lakini sio mpaka kuoa
Mimi mwenzio binamu zangu nakanyaga sana,tena watoto wazuri balaaaa...ila wanawivu na wife khatareeee
 
No offense...acha ubwege mkuu...that man (the father) trusted you...welcomed you into his home. amekusomesha na kazi juu, may be hiyo pesa angetumia kwenye mambo mengine muhimu. And how did you repay his generosity? kumtia mwanae?. You disrespected him and his family man. Stay away...it seems you're controlled na huyo mchuchu...kimbia kama husein bolt asee
 
Mkuu unafikiri kwa jinsi alivyopost hata hizo nguvu za kukimbia kama hussein bolt anazo??? Huyo ana nguvu kumlalia tu na si za kumkimbia
 
ukisikia ulofa ndio huo sas wa kumdonyoa ndug yako yani had najickia kinyaa
 
Sawa si ndo mnajifanya kizazi cha nyokA mpe tu hiyo mimba hlf siku huko mbeleni utAkapokutA mwanao wa kiume kambong'oresha mwanao wa kike kwenye kochi ndo utaelewa upuuzi uliofanya ulikuwa una maana gan..innna lilahiiiiii wainalilahiiiiii raijunnnnn
 
Back
Top Bottom