msalala kwetu
Member
- Jan 29, 2016
- 71
- 77
Fungeni tu ndoa
Not necessarily,It is just a probability;kama ambavyo unaweza kuoa ambae siyo ndugu yako-wewe ukawa na recessive deffective genes za trait flani nae akawa nazo mkacombine mkapata dominant deffect,pia kwenye kizazi chenu kunaweza kusiwe na genetic diseases zile za hatari-hapa namaanisha kama unataka kuchukua precaution ya genetic diseases basi isiishie kwenye kuoa au kuolewa na ndugu tu bali umakini ni hata kwa watu wa mbali,ndio mana mababu zetu zamani walikuwa wanafatilia hivi vitu prior to marriage(walikuwa wanaact kisayansi bila kujijua.)Kitaalmu haifai utazaa Watoto wadumavu na matizo ya akili ,
Hiyo haifai hata kwa wanyama usijaribu Kama kweli huyo mjomba ni kaka wa Damu wa mama yako .
Hahahaa, unanionea usinikumbushe bana,kibaba baba ikawa kweli,teh
Kutafuna bila ndoa hairuhusiwi ndugu labda umejiruhusu ila kuoa swadakta ingawa kiafrika zaidi ndugu huogopa kuoana sababu matatizo ya ndoa wengi tunayafahamu badala ya kujenga udugu mnajikuta mnafarikiana pindi ndoa ikiyumba na kila mzazi akachukua upande wa mwanae ingawa ni jambo linalowezekana kama wazazi watachukua haki suluhu inapatikana.Kama ww mwislam din inaruhusu wala haina shida mm mwenyewe yupo binam yangu natafuna mara mojamoja
Haha,umenichanganya bestie,sijawahi kuweka uzi ka huo...Nimeuona huu uzi nikaukumbuka ule.. teh hivi iliishiaje? Na ninavyopenda jina Brenda niliumia kweli