Dada yangu ananitaka kimapenzi

Kama vipi mle tu
 
Wewe hostel umekosa? Ndivyo wa "kwa mujibu" mlivyofundishwa hivyo?
 
Umesahau binam ni nyama ya ham, alafu mtoto wa mjomba wako siyo ndugu yako huyo unaweza hata kuoa, kwani hamna uhusiano kabisa wa kidam au kibaolojia
 
i cant believe ni kweli unachosema au unatafuta kiki.... coz ni kawaida hyo .... labda kazoea kua free... ladies are sometym un expected cku unajichanganya halaf kamwambia uncle ndo utajua israel anatumia ID gan hum...
 
Mkuu nipe namba yake nimsalimie!

Hatokuja kukusumbua tena upele unahitaji mkunaji
 
Haramu kwako halali kwangu.nisogezeee namba plzzz
 
nimeona hyo [HASHTAG]#MJOMBA[/HASHTAG] tu sina hata haja ya kusoma huko chini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…