Dada yangu ananitaka kimapenzi

Watu mnaoleta mambo ya dini humu huwa nashindwa kuwaelewa,kwa sababu mtu ambaye anataka ufafanuzi wa jambo lenye kuhusiani na imani yake hata asingekuja humu kuuliza.

Na nyie mnaotakaga ushauri muwe mnasema mnataka ushauri wa aina gani au muende kwenye jukwaa LA dini ikiwa mnataka ushauri kutoka kwenye imani zenu.
 
Una miaka mingap???
 
Dah....msalimie sana...mwambie shemeji anakusalimia
 
hama Nyumbani kwenu,
Naona kama vile bado unakaa home,
Hama Nyumbani kwenu kwanza uone kama atakufata,
Kimbia kabla hatujamsingizia shetani
 
Unaijua kesi ya aibu? Basi mpe mimba mtu mliechangia damu. Wanawake walivyo wengi uhangaike na ndugu?
 
kabila zingine binamu wanaoa kabisa/
binamu kinyama cha hamu/ waarabu na wapemba kama FaizaFoxy wanaoana tu./
kwa mfano Wakurya au Wajaluo, binamu wa mjomba na shangazi huoana ila binamu wa mama wadogo hawaruhusiwi kuoana kabisa maana huchukuliwa kama kaka na dada. Acha uzinzi kijana ikimbie zinaa.
 
Acha kuchelewa Wewe tafuna kitu hiyo maisha yaendelee.
 
Mungu anajua kuumbua ukimkanyaga tu huyo bint na mimba juu halafu inatoka copy. Kuna brother men mmoja alijenga mazoea na bint mmoja ambae alikuwa mlemavu wa akili ila sio kivile sana yaani kama mbili kasorobo flan hivi basi mwisho jamaa akawa anakula mzigo tetesi zikaenda mpaka kwa ndugu wa yule bint wakaja kumuonya jamaa akawatolea nje na kashfa juu huyo dada yenu chizi nitampeleka wapi? Siku zikapita bint akaonekana na uja uzito ndugu wakamfungia ndani mpaka wakati wa kujifungua kilichotokea jamaa alihama mji begi likamfuata baadae maana ilitoka copy yenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…